Recent content by TUMBIRI

  1. TUMBIRI

    Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo

    Hivi unawezaje kumsamehe mtu ambaye hajaomba msamaha na anasisitiza hawezi omba kwa sababu hajafanya Kosa. Ni kweli issue ya Ben Saanane na Kitila Mkumbo zinafanana. Lakini Ben alisamehewa na kuwekwa chini ya uangalizi baada ya yeye mew yews kukiri Kosa na kuomba asemehewe. Kitila Mkumbo yeye...
  2. TUMBIRI

    Tamko la M/kiti CCM MKoa wa Shinyanga dhidi ya Malecela, Makonda

    Chochea Kuni. Nakala: MSALANI, Chabruma, etc
  3. TUMBIRI

    Lukuvi awasilisha muswada wa sheria ya kura ya maoni

    Tatizo huo mswada unawasilishwa na Serikali ya Muungano kwenye Kamati ya Katiba ya Bunge la Muungano badala ya Serikali ya Tanganyika iwasilishe kwenye Kamati ya Katiba ya Bunge la Tanganyika. Mpaka hapo wameshaboronga. Ngoja Tundu Lissu akawanige bungeni. TUMBIRI (PhD, University of HULL -...
  4. TUMBIRI

    Nategemea kupeleka hii Hoja yangu binafsi Bunge la August 2013 kuhusu Ajira kwa Vijana

    Ndugu Mwigulu Nchemba inaonekana unayo hoja nzuri tatizo unashindwa kuiandika katika mtiririko unaoeleweka. Mfafute John Mnyika akufundishe jinsi ya kuandika hoja binafsi. Hata mwishoni mwa hoja sijaona ukiandika kwa kufuata muongozo wa kuwasilisha hoja yaani 'Mh Spika naomba kuwasilisha' sasa...
  5. TUMBIRI

    CCM tunaomba uwazi wa ripoti ya mapato na matumizi ya fedha

    Nakala: Mingoi, chama, na buku saba wote
  6. TUMBIRI

    KCMC Hospital ieleze ukweli kuhusu jambo hili

    Mkuu MwanaHaki, next time jitahidi ku-summarize.
  7. TUMBIRI

    Kampeni ya kuhamasisha matumizi mazuri ya Mitandao ya kijamii na Mawasiliano

    Mkuu Invisible, fanya msisitizo ID za Nishati na Madini na ile ya Kurugenzi ya Habari ya CHADEMA na zenyewe ziwe verified kama hii ya TCRA.
  8. TUMBIRI

    Pongezi Nancy Mwenyekiti CHADEMA California

    Nyie ndio wale mnaolalamikia matokeo ya uchaguzi wakati huo huo hamtaki kushiriki kwenye siasa. Ni kwa nini hushiriki kwenye harakati za kisiasa (mathalani kugombea, kupiga kura na kulinda kura) ili tuondokane na viongozi unaodhani wewe si wazuri? Nakufananisha na watu wanaolalamikia maisha...
  9. TUMBIRI

    Taarifa ya utekelezaji wa mbunge John Mnyika

    Mkuu Kimbunga, Lowassa ndiye huwa anatumia na pesa za marafiki zake. Mnyika anatumia pesa za mfuko wa jimbo tu. Sasa ujiulize CHADEMA wakiongoza halmashauri ya Kinondoni si watoto wote watasoma bure shule za serikali hadi form six na rafiki yangu Rejao na chama watasave hatimae wataezeka nyumba...
  10. TUMBIRI

    Taarifa ya utekelezaji wa mbunge John Mnyika

    'Hakika Mnyika atosha' - Ndiyo kauli mbiu ya Mwaka 2015 jimbo la Ubungo. Nakala: John Mnyika, Nape Nnauye, Crashwise, Matola, zomba, Mingoi, HAMY-D na buku saba wote, etc.
  11. TUMBIRI

    Magazeti yana nini na Mh. Dr. Emanuel Nchimbi?

    Rejea post yangu namba 21
  12. TUMBIRI

    Magazeti yana nini na Mh. Dr. Emanuel Nchimbi?

    Mkuu Fisadi Mtoto, Hoja ya Msemakweli haikuwa kwamba 'thesis' yake haijasainiwa na external supervisor. Kasome vizuri kitabu cha Msemakweli ndo tuendelee kujadiliana.
  13. TUMBIRI

    Magazeti yana nini na Mh. Dr. Emanuel Nchimbi?

    Mkuu Mpitagwa, Huyo anaitwa Emmanuel Nchimbi siyo Dr. Emmanuel Nchimbi. Rejea orodha ya mafisadi wa elimu kwenye kitabu cha Kenerugaba Msemakweli.
  14. TUMBIRI

    Ukaguzi wa Watanzania airport ughaibuni:

    Idd Azzan na wenzake ndio wametufikisha hapo.
Back
Top Bottom