Recent content by Tuma2

  1. T

    Qur'an imewadharau sana waarabu waliohai

    Nimemuliza swali kutokana na maelezo ya Jagina, naomba jibu...
  2. T

    Qur'an imewadharau sana waarabu waliohai

    "Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani." Kwa maana hiyo unasema mke wa Mfalme Ahazi au Nabii Isaya ndiye aliyemzaa Mungu?
  3. T

    Qur'an imewadharau sana waarabu waliohai

    Kwani Neno la Mungu/Masihi au Ukristo kimeanzishwa na nani?
  4. T

    Wazee naombeni msaada, mwili wangu unatoa sana jasho tiba ni nini?

    Usimwage mtama kwenye kuku wengi! Lakini pia ungepata ushahidi mzuri wa hicho ulichosema kama ungenipigia, usitengeneze majibu.
  5. T

    Our World!

    https://substack.com/@wellnesswithamy/note/c-113619247?r=502vxq
  6. T

    World Football Summit

    https://youtu.be/A3uJArSYTbo?si=UMUREQTR3RnvTtiy
  7. T

    Ally Kamwe: Habari za kufungiwa sio za kweli TCRA washughulikie taarifa kama hii

    Kamati ya Maadili nayo inatakiwa itoe taarifa ya kukanusha na kuwaomba TCRA wafatilie ili kubaini nani aliyesambaza habari hiyo... Kamati ya Maadili ishughulikie utovu huu wa Maadi!
  8. T

    Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

    Hijab siyo dini, hijab ni vazi la mila ya karibu makabila yote ya Mashariki ya Kati kama vile kwa wanaume kuvaa kanzu, tofauti ni kuwa kwa waislamu hijab ni Sharia!
  9. T

    Naomba majibu tafadhali watu waminio dini hizi 2 yan ukristo na uislamu

    Yerusalem ni mji mtakatifu kwa sababu Mfalme Suleiman alijenga nyumba ya Mungu kama alivyoagizwa baba yake Mfalme Daudi. Pamoja na hilo Hekalu alilojenga lilikuwa na mahali Patakatifu na ndani zaidi palikuwa na mahali Patakatifu pa Patakatifu. Kasome vizuri biblia yako. La sivyo kama una maana...
  10. T

    Hii Sio Tanzania

    Hiyo clip inaonyesha nchi za Asia siyo Tanzania! Kwa maoni yangu. Aliyeposti amekosea au amedhamiria kupotosha!
  11. T

    Geoff Lea: Yanga wanaruhusu sana kufikiwa na wapinzani Langoni mwao

    Eti Yanga haishambulii kwa nidhamu, jamani statistics huwa hamzioni? Mashuti yaliyolenga lango na mashuti yaliyotoka nje ya lango, pia kona ngapi zilizopigwa.... Hayo yote hamyaoni, mbali na kosa kosa nyingine zonazookolewa na mabeki wa upinzani!
  12. T

    Geoff Lea: Yanga wanaruhusu sana kufikiwa na wapinzani Langoni mwao

    Kufikiwa langoni siyo tatizo huo ndiyo mpira, sidhani kama kuna timu isiyofikiwa langoni... Na hapa namaanisha eneo la ndani ya 18! Timu nyingi kwa sasa zinaona ni bora kufikiwa golini lakini wasitoe mwanya kwa mpinzani wa kupiga kulenga goli, kuliko kupishana na kujifanya kushambulia na kuacha...
  13. T

    Ibenge ameshachoka na Simu za mara kwa mara za Msomali Koko

    Haijaisha mpaka iishe!
  14. T

    Kwa mazungumzo ya Jana ya mbowe clouds TV, mbowe amegeuza upepo, ushindi kwake ni dhahiri

    Kwanza jiulize watu wenye akili timamu na marafiki kila kona kwa nini wakimbie? Waliochelewa kukimbia wamepoteza maisha na leo mnajifanya kuwasikitikia na kivilalamikia vyombo vya usalama, hawa waliokimbia wapo hai kulitetea taifa, je ulitaka na wao wapoteze maisha ili abakie Mwamba peke yake?
Back
Top Bottom