BowBow
Kwa kawaida huwa sichangii humu kwenye Hoja nzito huwa naagalia tu na kwenda zangu.
This is getting to an hizi picha mtu kacheza video clips zingine harafu mwanzoni akaweka Bendera ya tanzania kuonyesha kuwa kilichomo ndani ndio kilicho na kielelezo cha awali.
Tanzania hakuna kama khali kama hiyo..hilo hata Shy analijua.Picha hizi twaziona somalia,burundi na kwingineko.
Uwezo wangu mdogo wa kufikiri unaniambia kuwa tusipoteza muda kujadili video clip za matukio ambayo si ya kweli.
Utaumiza bichwa bure.