DR.EMMANUEL JOHN NCHIMBI ACHIA NGAZI
Siku zote mtu anayesema ukweli huchukiwa na watu wengi hata pengine kutafutiwa namna ya kuuawa, mfano, nabii Yeremia katika kitabu chake sura ya kwanza kwenye utangulizi anathibitisha haya kwakuwambia wayahudi kwamba; Wafalme,makuhani na manabii wa uongo...