HOJA DHAIFU RIDHI YA GHARAMA YA SAFARI YA RAIS NCHINI RWANDA.
Unashangaa Rais Kutumia Ndege Kutoka Rwanda???
Hivi karibuni vyombo vya habari vya kimataifa, ikiwemo BBC viliripoti kisa kimoja cha kuchekesha kuhusu Rais wa Marekani Mh Barack Obama,
Iliripotiwa kuwa " Obama aliamua kutimua mbio ili aweze kuiwahi ndege ya Rais kabla haijapaa kabla ya yeye, (Obama) kuingia, kwa kifupi ndege ya Rais wa Marekani inapaa na kutua kwa muda uliopangwa, hivyo hata kama Rais amechelewa kuingia, ndege hiyo huruka bila kumngoja Rais, Unashangaa???? Ndiyo hivyo sasa, Usalama Kwanza
Mwanzoni mwa wiki jana, Mh John Pombe Magufuli alisafiri kuelekea Rwanda akitokea Chato alipokuwa ameenda kwa ajiri ya Mapumziko.
Mh Magufuli alitumia usafiri wa magari kuelekea Rwanda,, na baadae kutumia Ndege ya Rais kutoka Rwanda kuja Dar es salaam,,, kuna watu wanahoji kuwa Rais ametumia gharama zisizo za lazima kwa kitendo chake cha kutumia magari kwenda Rwanda, na baadae Ndege kumfuata huko Rwanda huku ikiwa imeenda ikiwa haina haina kitu au abiria isipokuwa rubani tu na wakati huo huo yale magari aliyoenda nayo Mh Magufuli yakiwasili nchini yakiwa na madereva pekee
Hawa watu wameenda mbali zaidi na kuhoji kuwa kulikuwa na ulazima gani wa Mh kutumia magari huku akijua atafuatwa na Ndege? Eti wanahoji kwanini hakwenda na Ndege na Kurudi na Ndege ili kupunguza gharama??
Kwasababu ni wapofu wa kumbukumbu ningeshauri tuwasamehe bure huenda hawajui wanahoji nini,,, ila wangelejea bbc.com na kumwona Obama anawahi ndege na gharama anazotumia kwa ajili ya ulinzi.
KWA UFUPI TU
Mh Rais alikuwa anaenda katika Uzinduzi wa Daraja la Rusumo, Pamoja na Kituo Cha Kibiashara pale Mpakani,,,, Sasa kutoka Chato Angeenda kwa Ndege Ipi ilihali pale Rusumo hakuna kiwanja cha Ndege ambacho kingeweza kuruhusu ile Ndege kutua??
Au hawa watu walikuwa wanataka Mh Rais arudi Dar apande ndege mpaka Kigali Rwanda, Kisha apande gari mpaka Rusumo???
Pili, Usafiri wa Rais ni suala la kiusalama zaidi ya kupunguza gharama, Hivyo kwenda na gari pale Rusumo, kisha kwenda kwa gari Kigali ktk maadhimisho yale ya mauaji ya kimbari kisha kurejea na ndege jijini Dar lilikuwa ni suala la kiusalama zaidi, hata kama adui alijua Rais angelejea Tanzania kwa usafiri wa gari kupitia daraja la Rusumo basi "kugeuzia gia angani na kuamua kutumia usafiri wa ndege ni jambo jema"
Tatu, hawa watu wanashindwa kuelewa kuwa suala la Usalama wa Rais haliko mikononi mwa Rais bali Usalama wa Taifa na Kitengo maalumu cha ulinzi wa Rais,, Security Protocal haijadiliwi kisiasa huku ukizungusha mikono na kudeki lami, bali hujadiliwa kiusalama zaidi
Kumekuwepo na mjadara wa kuhoji endapo safari hii ya Mh Magufuli imeongeza gharama au imepunguza gharama
Usalama wa Rais ni Zaidi ya Gharama.