Recent content by Tulibhalega

  1. Tulibhalega

    Engineer Hersi Said kuna vitu hufanyi kiprofessional bali unakurupuka

    Kwake yeye wala hakurupuki ila anaamini afanyavyo ndivyo washabiki wake watakavyo, mfano siku ya yanga day kuna tukio lilokuwa na vibe kubwa zaidi ya utambulisho na mauno ya tsabalala? hapana, ndipo akili za mashabiki wa bongo zinapoishia na yeye engineer anapita humohumo, niliwahi kushauri hapa...
  2. Tulibhalega

    Padre Aliyejiteka ana changamoto ya Afya ya akili

    Kwani si ndio yule ilisemekana amejiteka kwa kukimbia madeni, au sio yeye?
  3. Tulibhalega

    DOKEZO Hakuna tena vituo vya Kulelea Watoto (Day care) bali kuna camp za zinazotesa watoto wadogo

    Huwa nasikia mitaani eti aliyegundua ngazi alikuwa mfupi sana, na aliyegundua kufuri alikuwa mwizi mkubwa. Misemo hi huwa nikiitafakari naishia kukubaliana nayo kwa sababu mbili kuu 1. Wakati ugunduzi huo unafanyika sikuwepo hivyo siwezi kubisha 2. Aliyeanzisha haki za binadamu ndiye alikuwa...
  4. Tulibhalega

    Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

    Nakumbuka nyerere kafariki 1999, ni miaka mingapi mpaka leo? na Je, gape la umri wake na mke wake lilikuwa sawa na miaka hii aliyoiishi mke wake baada ya yeye kufariki?
  5. Tulibhalega

    Watu wameminywa kwenye asilimia 50 ya iliyokuwa Gaza wakiachwa wafe bila chakula, maji na mahitaji mengineyo muhimu ya kibinadamu

    Kwahiyo nigeria wakichinjwa ni redioni ila gaza wakilipuliwa ni ukweli. Haya sawa, vipi kuhusu congo? Kwani Oct 7 ilikuwa nayo ni redioni au ilikuwa ukweli? Natamani uungane na member aliyekushauri uwatetee wote, vinginevyo itikadi ndio itakuwa inakuendesha na sio ubinadamu. Na ikishathibitika...
  6. Tulibhalega

    UN na AL HAQ wamepata uthibitisho kuwa Israel inawaua wanawake na watoto kwa makusudi ili kufuta jamii ya kipalestina

    Binafsi mimi naomba niungane na jamaa unayemuita mjinga, yaani namimi niwe mjinga lakini naomba unitoe ujinga wangu kwa kunijbu maswali yafuatayo: 1 Kwani mabomu yanapotua na kuua wanawake na watoto tu wanaume wa gaza kila siku huwa wako wapi mpaka wao hayawagusi? 2. Tuliona siku ya...
  7. Tulibhalega

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo masasi mjini secondary CB nije kanda ya ziwa
  8. Tulibhalega

    Utaratibu wa kushindanisha matokeo ya wanafunzi, kupanga wa kwanza hadi wa mwisho UFUTWE unabakiza Taifa hili nyuma

    Then it is better to use international mind for international students, our children work harder after being ranked down
  9. Tulibhalega

    Black people hate everything about slavery except religion

    Babu yangu mpaka leo humwingizi kanisani wala msikitini, we unaesema waafrika hawana dini bali mila kwani waliokuwa wanaabudu kwenye miti ni dini au mila? Kuabudu sio mila ila kutambika ndio mila, kuabudu ni dini haijalishi unamwabudu Mungu kupitia kwa nani, kuna wanaopitia kwa yesu, kwa...
  10. Tulibhalega

    PreGE2025 Kadogoa: SGR ikikamilika Mwanza kuwa kitovu cha biashara

    Kama hujui umuhimu wa daraja la busisi sio mbaya ukikaa kimya, maana hata hujui kuwa hilo daraja linaiunganisha nchi yetu na rwanda, burundi, congo na uganda. Pia nashauri watu kama nyie muwe mnakaa kimya tu maana mnakera na utoto wenu
  11. Tulibhalega

    Kamishina wa mchezo na Meneja wa uwanja hawafahamu kanuni? au walishindwa vipi kuwasiliana ili Simba wafanye mazoezi?? Kuna kitu hakipo sawa.

    Kujianika weupe wako kichwani ni zaidi ya aibu, kwamba wewe hujui mechi hii nan mwenyeji na nani mgeni?
  12. Tulibhalega

    Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

    Unakikumbuka kisa cha RC wa mwanza kwwnye mechi ya pamba jiji vs simba?
  13. Tulibhalega

    " Benjamini Netanyahu aapa kulala nao kiulaloulalo magaidi wa Hamas baada ya kuwaua watoto ariel na kafri Bibas na mwili wa mama yao kufichwa

    Mi natamani kwanza kujua kigezo kilichotumika kuachia maelfu ya wafungwa wa kipalestina kwa wisrael wanne tu siku ya kwanza, hii hesabu hamas walimaanisha thamani yao haina hadhi sawa na waisarael, nilijua watakua wanabadilishana mmoja kwa mmoja lakin wao wakademand wapalestina maelf kwa...
Back
Top Bottom