PreGE2025 Kadogoa: SGR ikikamilika Mwanza kuwa kitovu cha biashara

PreGE2025 Kadogoa: SGR ikikamilika Mwanza kuwa kitovu cha biashara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kuna biashara gani kati ya Isaka na Mwanza? Magu alikuwa hopeless kwl, alikuwa ni mbaguzi na mwenye upendeleo wa hovyo. Kwanini wasingeendeleza kutoka Dodoma badala yake akakimbilia kuanzia Isaka? Bado daraja la Kigongo-Busisi wakati nchi bado ina barabara za vumbi ila tumshukuru Mungu anaipenda nchi yetu yule banyamulenge angeshaivunjavunja vipande nchi hii.
Tabia za kitoto, kulalamikia waliokufa wakati tuliopo hai tunataka sgr ikamilike upesi watu wasafiri kwa haraka,unakuja kujiliza hapa magu nyoko magu nini, upungufu wa akili ni pale watu tunazungumzia sgr wewe unamzungumzia mtu! Tangu 2021 hadi leo ni miaka 4 kasi ya ujenzi hairidhishi!
 
Mradi huu ni moja ya miradi mikubwa pasua kichwa kwa kuwa katika uhalisia lazima uchukue miaka zaidi ya kumi kukamilika kabisa lots / vipande vyote kuwa na muunganiko

TOKA MAKTABA :

Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika...​

Tukutane Bagamoyo...kwenye bandari....tukajenge miundombinu ya wahandisi sehemu kukaa kula mizigo etc....
 
7E44B8DE-8F9F-4CE4-8271-17A0AB4E6498.jpeg

B33086CC-9D15-49F1-9488-48CFA8305736.jpeg
5B7E857E-73E7-4ABD-A092-CD5C75CE65E5.jpeg

Kuna watu humu wanaongea ila sisi ambao tunapita hapo mswahili tunajua ujenzi umesimama labda kama wameanza juzi.
Lakini swali kipande cha tatu cha sgr akiongelewi kabisa.
Ila mnapoambiwa ukweli muwe mnafatilia na kuchukua hatua haya mambo yapo wazi wala uhitaji simuliwa.
 
kuna biashara gani kati ya Isaka na Mwanza? Magu alikuwa hopeless kwl, alikuwa ni mbaguzi na mwenye upendeleo wa hovyo. Kwanini wasingeendeleza kutoka Dodoma badala yake akakimbilia kuanzia Isaka? Bado daraja la Kigongo-Busisi wakati nchi bado ina barabara za vumbi ila tumshukuru Mungu anaipenda nchi yetu yule banyamulenge angeshaivunjavunja vipande nchi hii.
Ukiwa mjinga kunyamaza nspo ni akili
 
  • Thanks
Reactions: Ame
View attachment 3277209
kweli mkuu samia hajajenga hata kilometer moja maaana magufuli alikuwa hai mwezi wa tano 2021 wakati mradi unaanza
Hii sarcasm yako ni ya kishamba sana.. huoni kama mwezi wa tano unaanza mradi mambo yote yalikua yako planned tayari?? Maana sidhan kama hili linahitaj kushughulisha sana ubongo kung’amua
 
Mimi ningekuwa waziri wa fedha, uchukuzi, uchukuzi, mipango au mshauri wa maswala ya uchumi serikalini. Ningejikita kuona business plan ya TRC kuhakikisha wana faida na sehemu ya faida kwa phase zilizopo zinaenda kuchangia phase zingine za mradi.

Sio kusikiliza ujinga wa Kadogosa na mapambio ya kijinga kwa serikali wakati TRC is making losses.

Sort the civil services, usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili.
 
kuna biashara gani kati ya Isaka na Mwanza? Magu alikuwa hopeless kwl, alikuwa ni mbaguzi na mwenye upendeleo wa hovyo. Kwanini wasingeendeleza kutoka Dodoma badala yake akakimbilia kuanzia Isaka? Bado daraja la Kigongo-Busisi wakati nchi bado ina barabara za vumbi ila tumshukuru Mungu anaipenda nchi yetu yule banyamulenge angeshaivunjavunja vipande nchi hii.
Sasa hivi huo mradi nitajie kipande gani kinaendelea na ujenzi? Watu tuna mengi sana ya kusema ila mdomoni kuna maji..
Usichukulie serious sana haya mambo.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mkoa huo unaunganishwa na SGR kwa kipande cha lsaka - Mwanza chenye urefu wa kilomita 341 ambacho kinajengwa kwa gharama ya Sh3.06 trilioni na hadi mwezi huu ujenzi wake umefikia asilimia 63.04.
Asilimia hazisaidii, tuambie tunaanza safari lini?
 
Serikali aiwezi kuchukua deni kujenga mradi kwa mkopo, deni ni la watanzania walipa kodi.

Mradi ushaanza kufanya kazi halafu auna faida ya kuchangia phase za mbele hata shillingi moja inategemea serikali iendelee kukopa kuwajengea tu.

TRC ya sasa kama aina mchango, kwenye ujenzi wa phase zingine za ujenzi yaani wanapata hasara tu, serikali inabidi imtimue huyo Kadogosa maana yake hana uwezo.

Nchi inahitaji serious people wa kuendesha, aiwezekani serikali itupe hela zote kwa TRC without debit liability ya ujenzi wa reli na train zenyewe halafu shirika liripoti hasara. Hiko ni kielelezo cha uwezo mdogo mno wa management.

TRC lazima iwe na faida ya kuchangia phase zingine za SGR project.

Serikali aitakiwi ku-entertain kupewa sifa na managerial za institutions zao kwa sababu huko serikalini tumejaza civil servants wajinga.

TRC inatakiwa kutoa report ya faida vinginevyo huyu Kadogosa ni wakutimuliwa sio kutoa long term plans wa hela za serikali kukopa wakati shirika halina msaada.

Fanyeni succession planning sahihi huko serikalini yaani unasoma taasisi ambazo zinatakiwa kuwa cashcows za serikali ambazo haziwezi pata faida pamoja na serikali kuchukua sehemu kubwa ya investment costs zao unajiuliza how.

Ni taahira tu ambae akumuelewa Magufuli
 
Sias
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Reli ya Kisasa ya Umeme (SGR) ikikamilika Mkoa wa Mwanza utakuwa kitovu cha biashara kanda ya ziwa.

Kadogosa ameyasema hayo usiku Jumanne Machi 18, 2025 katika hafla iliyofanyika jijini humo kuangazia miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan madarakani.

Mkoa huo unaunganishwa na SGR kwa kipande cha lsaka - Mwanza chenye urefu wa kilomita 341 ambacho kinajengwa kwa gharama ya Sh3.06 trilioni na hadi mwezi huu ujenzi wake umefikia asilimia 63.04.

"MIliyoyaona kanda ya ziwa ni yaliyotendeka na yanayoendelea kutendeka katika ujenzi wa reli, tunazungumzia miaka minne ya Rais Samia, kwa sisi watu wa ukanda huu lengo tunalijua, mradi huu ukikamilika Mwanza itakuwa kitovu cha biashara," - amesema Kadogosa.

Soma, Pia: Ujenzi wa SGR Mwanza - Isaka wafikia 63%

Katika hafla hiyo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ambaye amesisitiza mradi huo utakamilika na kuwanufaisha wakazi wa ukanda huo

"Reli imeanza (SGR) na mchakato wa ujenzi katika vipande vingine unaendelea, endeleeni kumuamini Rais wetu ilimradi tuliapa kuwasaidia, tutawatumikia na mtanufaika na mradi huu"- amesema Majaliwa.

Siasa si Hassan
 
Najua nachosema Yepi hayuko site mkuu bafo anadai na kudaiwa pia....mimi mmojawapo nawadai mwaka 2 sasa....kuna uwezekano dom tabora wakauza kwa wachina waje na loan wajenge tudaiwe in 20yrs .....Yepi hana pesa .....kujenga aje adai mbeleni....alitakiwa akopeshwe ila riba kubwa banks hapa Tz.....
Lot 3 and 4 angepewa Mchina kweli kufika Mwanza by 2027 ingewezekana. Lakini kwa speed ya Yepi sioni huu uwezekano. Inawezekana kama ulivyosema hivyo vipande atauziwa Mchina. Nakumbuka debate. Kadogosa ndiye alipush sana Lot 3 wapewe Yepi badala ya Wachina kwa kigezo kwamba Yepi tayari yuko site.
 
Yepi hakuna pesa kwake wala mkopo ...ngoma wauziwe ma china waje mikopo yao.....@ Ndugai khaaa inatafakarishaaaa
 
kuna biashara gani kati ya Isaka na Mwanza? Magu alikuwa hopeless kwl, alikuwa ni mbaguzi na mwenye upendeleo wa hovyo. Kwanini wasingeendeleza kutoka Dodoma badala yake akakimbilia kuanzia Isaka? Bado daraja la Kigongo-Busisi wakati nchi bado ina barabara za vumbi ila tumshukuru Mungu anaipenda nchi yetu yule banyamulenge angeshaivunjavunja vipande nchi hii.
Kama hujui umuhimu wa daraja la busisi sio mbaya ukikaa kimya, maana hata hujui kuwa hilo daraja linaiunganisha nchi yetu na rwanda, burundi, congo na uganda. Pia nashauri watu kama nyie muwe mnakaa kimya tu maana mnakera na utoto wenu
 
Back
Top Bottom