Recent content by Tuko

  1. Tuko

    Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM kusimamisha magari kwa saa tatu ni halali?

    Wanaofahamu sheria naomba watusaidie... Ni viongozi gani wa kitaifa wanatakiwa kusubiriwa kupita na watumiaji wengine wa barabara kustopishwa? Karibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo yupo mkoani Morogoro kwa ziara na mikutano. Leo jumapili tarehe 5/2/2023 asubuhi barabara zote za kuingia na kutoka...
  2. Tuko

    Barcode ya EFD Machine ni uporaji mwingine

    Cha kusikitisha ni kwamba sasa hivi wanapita kwenye biashara za watu na kublock mashine ambazo hazina QRCODE!
  3. Tuko

    Uamuzi wa kuwaondoa Machinga mitaa ya Dar es Salaam urejewe upya

    Binafsi sioni mantiki yoyote ya kuacha watu wafanye biashara barabarani... Mbona mitaani kumejaa fremu wakakodishe wauzie huko vitu vyao.
  4. Tuko

    SUA badilikeni, achaneni na Panya imetosha

    Kwani ni lazima SUA wafanye kila kitu? SUA wao wapo na panya, hivyo vingine fanya wewe... Ani
  5. Tuko

    Usaili wa SUA uliofanyika Chuo cha Ualimu Sumbawanga Leo ni uhuni uliopitiliza

    Mtazamo wako tu unaonyesha ni kwa nini hujapita kwenye mchujo. Kiuhalisia una akili finyu sana na usingefaa kuwa mwalimu wa SUA.
  6. Tuko

    Wananchi wafurika Kijiji cha Kasala Kata ya Makurugusi Wilaya ya Chato kumuona Nyoka wa ajabu

    Ni imani sawa na imani nyingine... Hata Mimi kuna namna naamini watu wengine hawawezi nielewa... Naheshimu imani za wengine
  7. Tuko

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ütawezaje kutupenda wawili, nami najua una moyo mmoja"... Huu wimbo nautafuta sana
  8. Tuko

    Baada ya kudorora Bongo Movie, Bongo Fleva ikae tayari

    Kifo cha Ruge kimenifanya nikajikuta natafakari safari ya muziki wa Tanzania was kizazi kipya, alias Bongo fleva... Trend ya muziki wa bingo fleva kwa sasa ipo juu. Kwa sasa ni rahisi mwanamuziki akapata umaarufu kwa muziki mmoja, na ukambadilisha kimaisha kabisa kimapato.. Hata hivyo...
  9. Tuko

    Alfajiri ya furaha kubwa! RIP DR. FUPI

    Zamani kidogo... Ila nakumbuka
  10. Tuko

    Morogoro: Wabunge sita wapata ajali jana usiku. Kupelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu zaidi

    Mbona watu wanasisitiza sana chama chao... Ni wabunge...
  11. Tuko

    Morogoro: Wabunge sita wapata ajali jana usiku. Kupelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu zaidi

    Sorry wakuu.... Nilidhani habari kuu ilishaletwa humu. Ngoja nifuatilie majina yao kamili na kwa usahihi...
  12. Tuko

    Morogoro: Wabunge sita wapata ajali jana usiku. Kupelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu zaidi

    Mwandishi wa Radio Abood ya Morogoro ameripoti kwamba wabunge waliopata ajali jana tarehe 29.03.2018 saa tatu usiku eneo la bwawani wapo njiani kwenda uwanja wa ndege tayari kupelekwa Muhimbili... Wawili kati yao inasemekana hali zao bado ni critical... Tuwaombee wabunge wetu wapone haraka...
  13. Tuko

    Baada ya mahojiano na Diamond, Times FM wawekwa kikaangoni na kamati ya maudhui ya TCRA

    Swali la msingi lijibiwe kwanza... Huyo NW ana msaada gani kwa wasanii?
Back
Top Bottom