Wananchi wafurika Kijiji cha Kasala Kata ya Makurugusi Wilaya ya Chato kumuona Nyoka wa ajabu

Asee hizi ni juhudi za serikali ya awamu ya tano kwa udhamini wa jamuhuri ya watu wa uchina,,,

Kidumu Chama tawala
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wananchi kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya Mkoa wa Geita wamepiga kambi katika pori llililopo Kitongoji cha Iseni Kijiji cha Kasala Kata ya Makurugusi Wilaya ya Chato Mkoani humo baada ya kudaiwa kuwepo kwa nyoka aina ya chatu mwenye maajabu huku wengine wakionekana kuchota Baraka kutoka kwa nyoka huyo kwa kufanya matambiko.
View attachment 1203478
Joka la watu limejipotelea zake njia huko lishageuzwa mungu... Linawashangaa tu
 
Huyo mbuzi ni kheri wangemchinja Walau wapate kufanya biashara ya soup ya mbuz au hata mbuzi choma na ugal au ndizi au hata kuuza mishikaki.ili waondokane na umasikini.kuliko kumpa uyo bwana nyoka hammeze without feedback yoyote.but all in all mambo kama haya yanahitaji imani.so ukiamini kua basi huwa.lets wait and see kwa wana kanda ya ziwa.
 
Ni imani sawa na imani nyingine... Hata Mimi kuna namna naamini watu wengine hawawezi nielewa...

Naheshimu imani za wengine

Back
Top Bottom