Recent content by Tuishi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taifa stars kufungwa na Kenya baadhi ya watanzania wameshangilia kuliko tulipofungwa na Senegal?

    Pole Tanzania.. Naona yaliyokuwa yanakuunganisha, yanaanza kukutenganisha.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Vodacom nimewachoka

    Jeuri ya vodacom ni huduma ya M-PESA wana wateja wengi na ni ya uhakika. Siku mitandao mingine ikijiimarisha katika huduma zao, tunaweza kushuhudia anguko lao.. sio MB tu, hata dakika ni chache ukilinganisha na wenzao.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwa niaba ya mzungu mswahili Kenya kesho jiandaeni tutawakung'uta

    Hope, is the last thing we loose
  4. T

    JamiiForums Tanzania Sioni umuhimu wa kwenda chuo

    Nalojua mimi, wasomi wengi wanapitishwa kwenye kipindi cha mpito... sasa we acha ukidhani mtaani kuna urahisi.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nimeikumbuka JamiiForums ya zamani

    AKINA Himidini Tyta @BabaV
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tarehe muhimu zenye matukio makubwa mwaka 2015 (Be aware)

    Zodiacs
  7. T

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kishapu Shinyanga yupo mtu
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugomvi katika mahusiano ni afya

    Mleta mada uko sahihi tatizo watu wanategemea furaha wakati wote
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugomvi katika mahusiano ni afya

    yataisha usihofu
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usije nyumbani bila mke

    nipo tabora, nina miezi mitano sijarudi nyumbani maana nipo kazini, sitaki kuanzisha mahusiano mapya kwa sababu nilitendwa vibaya hata wao wanajua vizuri
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usije nyumbani bila mke

    Sio sana ila wanafanya ivi ili nioe kwan tayari rika langu wote wameoa na hata wadogo zangu wana watoto
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usije nyumbani bila mke

    au hujanielewa? Nimesema sina hamu na kuanzisha mahusiano mapya
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usije nyumbani bila mke

    Jamani nina mawazo, wazazi wangu wametuma ujumbe kupitia mdogo wangu kwamba nisirudi nyumbani bila mke. Sio kwamba sitaki kuoa,uwezo upo na nia ipo,tatizo tangu nimetendwa sina maandalizi wala hamu ya kuanza mahusiano mapya.Ushauri wakondugu
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa style hii wanaume wafupi jiandaeni kisaikolojia

    Wajuzi wa kuingilia uumbaji wa Mungu endeleeni, mi kimya, naogopa. Ya Mungu Mengi
  15. T

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo Movie walilipwa Tsh. Milioni 8

    Siri imefichuka?
Back
Top Bottom