chap kwa ukaliiiNdio hivyo,Hapa nataka nijiunge na kifurushi tu hata kama bado hakijaisha maana nitakula hasara
Juzi walisema wanaboresha huduma ya dar supa uni jana kucheki hiyo ya buku tano nikawahama fasta najiunga Tigo buku mbili gb2 siku tatu no dk nao nawachek tu najua watanikimbizaHawa mala.ya mwanzo kwa Tsh5,000/= nikipata GB3 na point sasa nashangaa wameshusha hadi MB1500 sijui wana akili gani
Tena bora wewe unapewa MB800 per week mimi hiko wameniondolea kabisa then kwanini kila mteja ana kiwango chake cha bundle?kuna nini hapa?

HAMIA AIRTEL UPUMZIKEKwakweli Vodacom nawahama Bora nirudi tigo Kuna kifurushi Cha size yako napata mb za kutosha kwa sh elfu Moja week nzima au niende halotel kwenye kile kifurushi Cha royal bundle haki voda siweki Tena vocha.... Yaan elfu mbili Mia tano (2500) mnanipa MB 800??
Line ya tigo nnayo na leo lazima nisajili line ya halotel tusinyanyasane bakini na hao hao ambao hawana uchungu na hela...View attachment 1140705
Hakika boro kuachana naoJuzi walisema wanaboresha huduma ya dar supa uni jana kucheki hiyo ya buku tano nikawahama fasta najiunga Tigo buku mbili gb2 siku tatu no dk nao nawachek tu najua watanikimbiza![]()
Offer yao ya dar super uni sikuhizi hawana.
Wanapendelea dar hawa majamaa.
Size yako ya tigo ni kiboko.
Kwa laini ya chuo ila, maana maisha aya inabidi tuwe wanafunzi wa chuo tu sasa
Mimi nilikuwa nikiweka 1000 nikitaka kuunga bando la 1000 nakuta wamekata kama sh 3 inabaki 997 kwahiyo unakuwa huwezi kujiunga mpaka uongeze salio na wamenifanyia zaidi hata ya mara 10, nikiwapigia wanasema watalisolve tatizo lakini wapi mpaka nimeamua kuachana nao aisee...Mimi Nina elfu mbili kwenye salio na bando la data nilikua nimejiunga na bado lipo lakini naona kila Siku wanakata mia,Jana ikabaki 1,900 Leo asubuhi imebaki 1,800 hawa jamaa ni wezi kweli aisee
Hapa wamenikiza sana aisee mpaka nimewakimbia maana kila siku walikuwa wanakata salio kidogo kidogo na unakuwa huwezi kujiungaWezi haswaaaa..... Na ukiwapigia cm hawana Cha maana Cha kukusaidia.... Hi tabia yao ya kukata salio kidogo kidogo nliamuaga kutokuweka salio la kawaida kwa cm nlikia naweka mpesa tuuu Sasa,,, Sasa ivi hata mpesa cweki TENAAA .... Najua mimi mmoja tuu nikiwahama hawapati hasara yoyote lakn ndo tayar washampoteza mteja ivyooo
Huu ni wizi wa wazi mkuu,wanajua huwezi kijiunga mpaka itimie,nadhani ni ka mradi Fulani cha kujiongezea mapatoMimi nilikuwa nikiweka 1000 nikitaka kuunga bando la 1000 nakuta wamekata kama sh 3 inabaki 997 kwahiyo unakuwa huwezi kujiunga mpaka uongeze salio na wamenifanyia zaidi hata ya mara 10, nikiwapigia wanasema watalisolve tatizo lakini wapi mpaka nimeamua kuachana nao aisee...
Na kibaya zaidi hadi wameamua kuoinguza bundle la chuo kutoka mb 500 mpaka 250
hebu kawaangalie tena hao tigo wanaojifanya na size yako,, wametoa kifurushi kutoka Tsh 2500 kwa wiki mpaka Tsh 5000 kwa wiki,Juzi walisema wanaboresha huduma ya dar supa uni jana kucheki hiyo ya buku tano nikawahama fasta najiunga Tigo buku mbili gb2 siku tatu no dk nao nawachek tu najua watanikimbiza![]()
Kuna siku nimepiga huduma kwa wateja akapokea mdada fulan namwambia tatizo langu akawa kama anacheka then ananiambia wakati naingiza bundle niliwasha internet.....Huu ni wizi wa wazi mkuu,wanajua huwezi kijiunga mpaka itimie,nadhani ni ka mradi Fulani cha kujiongezea mapato
Ha ha wanajua mchezo haoKuna siku nimepiga huduma kwa wateja akapokea mdada fulan namwambia tatizo langu akawa kama anacheka then ananiambia wakati naingiza bundle niliwasha internet.....
Nilimpa bonge la Tusi nikakata na simu
Wahuni waleHa ha wanajua mchezo hao
Kivipi uweke pesa kwenye salio ndugu, ni risk unaweza kujikuta umebaki ziro, ni bora uweke m pesa kule.Mimi Nina elfu mbili kwenye salio na bando la data nilikua nimejiunga na bado lipo lakini naona kila Siku wanakata mia,Jana ikabaki 1,900 Leo asubuhi imebaki 1,800 hawa jamaa ni wezi kweli aisee