johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,932
- 141,894
Watanzania ni watu wa ajabu sana na hasa wale wanaojiita " makamanda " yaani timu yetu ya taifa inafungwa wao wanashangilia.
Mbaya zaidi wanashangilia wapinzani wetu katika mechi muhimu ambayo ilikuwa ni lazima tushinde.
Halafu na nyie akina Haji Manara huko Misri mnajigharamia wenyewe au ndio mnabunya zile milioni 370 alizotuchangishia mama Samia kwa ajili ya wachezaji wa Taifa stars?!
Isijekuwa nyie ndio mmekuwa mnasababisha wachezaji wetu wapate lishe duni kwa kuhemea posho zao maana tulisikia wanalipwa dola 75 badala ya 300.
Na wewe Sugu ( waziri mbadala wa michezo) mbona uko kimya sana hata Cairo hujaonekana?!!
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!