Recent content by TUAMBIANE TU

  1. T

    Kususa kwa Dk. Slaa: Mtumbwi wa kisiasa wa CHADEMA unazama?

    Hata Slaa alitoka ccm baada ya kufanyiwa mtimanyongo na kujoin cdm na mara moja akateuliwa kuwa mgombea ubunge jimbo la karatu. Ktk siasa hiyo ni kawaida.
  2. T

    Kususa kwa Dk. Slaa: Mtumbwi wa kisiasa wa CHADEMA unazama?

    Ninachojua ni kwamba hujawahi kuwa mfuasi a CDM kwa hiyo acha kutapatapa. Hata CDM ingemsimamisha Dr Slaa ninaamini usingekuwa mmoja wa wanaomsupport. Kwa hiyo ni bora unyamaze kimya tulikomboe taifa halafu ufurahi matunda ya uhuru baada ya hapo.
  3. T

    CHADEMA with desparate politics

    Ninachokiona hapa in ccm wanatekenyana wenyewe. Ukawa wako imara kama jiwe. In vema bigshow kajipange upya na ulete post yenye maana kidogo hii imekubumia booooom.
  4. T

    CHADEMA hawana Ikulu wanarusha chopa tatu angani kujenga chama, wakichukua nchi itakuwaje?

    Kama dhana ni matumizi mabaya ya fedha basi tuanze na watawala. Wauze maVX, punguza safari za mkuu,rejesha fedha za EPA na tukadai hela walizotuibia akina Richmonduli.
  5. T

    Maneno ya hekima kutoka kwa mwenyekiti wa Taifa CHADEMA

    Keep it up! CCM wangeona kinachoendelea huku vjjn nadhani wangeanza kujikomba CDM.
  6. T

    Nani mtani jembe.....................

    Yanga wasingeweza kufikisha milion zote hizo pombe yao kubwa ni chibuku.Hata mm nawapigia Yanga japo ni Simba sababu cpend migogoro
  7. T

    Msaada king'amuzi cha star times

    Uza ununue chenye hizo chanel.
  8. T

    Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM

    Kwa maelezo yako tu yanaonyesha ww ni mdini namba 1. Halafu unajifanya hutaki udini. Kama huna thread bora usome za wenzako kuliko kufanya ujinga wako humu.
  9. T

    UHAKIKA: Mishara Mipya kwa waalimu

    Acheni ufala ninyi serikali inawaongezeni mshahara wa bure halfu mnapiga mikelele tu. Cheki watoto wanavyofeli kazi hamfanyi ila mnataka malipo makubwa. Nendeni wanakoweza kuwalipa mishahara mikubwa basi mkachukue.
  10. T

    Karibuni kwenye Mkutano wa Baraza la Katiba Ulioandaliwa na CHADEMA

    Hii shule iko maeneo gani, nikiwa magomeni Usalama nipande gari za kuelekea pande ipi Morogoro au Tandale uzuri?
  11. T

    Tumpuuze Mwigulu Nchemba na Mwenyekiti Wake(Picha), Tuimarishe haraka Red Brigade

    Kama tunaipenda amani yetu kamwe tusifikirie kuiondoa madarakani ccm. Hakika hawa jamaa watatuangamiza kwa mpango huo uliotueleza mkuu inatisha. Hivi hii Green guard c jeshi la kutuangamizia jamani!
  12. T

    TAARIFA: Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA - Rasimu ya Katiba, Hali ya Siasa, Uchaguzi

    Ni vema ccm wakajiuliza hivi utawala wa kifalme Misri uliishaje? Ndivyo ambavyo utawala waoipo siku utaisha tu. Wao wajilinde wenzao wasijilinde haiingii akilini. Nawashauri cdm warevisit mbinu zote zilizotumika kuiangamiza NCCR na CUF zisije zikatumika kuwaangamiza na wao.
  13. T

    Mwigulu Nchemba: Ninayo VIDEO ya Viongozi CHADEMA wakipanga mikakati ya mauaji nchini...

    Ktk watu wanaonichefua ni pamoja na huyu mwigulu. Anachoniuzi zaidi ni pale anapovaa bendera ya taifa halafu anaongea utumbo it pains alot. Hv huyu ----- ni kweli hajui jinsi Wabongo tunavyonyanyasika na hili chama lao la majambazi? Kuna wakati aliponda sana mapendekezo ya upinzani kuhusu bajeti...
  14. T

    CHADEMA bado mno Kupambana na CCM

    Msimlaumu hayo ni mawazo yake. Siku zote mvivu ni mtu mwepesi kupokeas jambo lolote ili mradi tu lisimfikirishe sana. Hata Mkapa ni CCM ileile ndio maana ni lazima chama kibadilike. Tusubiri kidogo tu Tutaenda kuomba ushauri Rwanda jinsi ya kuiendeleza nchi yetu. Aibu!!!!
Back
Top Bottom