Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM

Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM

nilikuwa CHADEMA lakini sasa nimeamua kuondoka
Wenye akili zao itakuwa wewe buku 7 FC
397408_591333594221501_743443387_n.jpg
 
hiyo avatar yako inawakilisha unachofanyiwaga wewe ...
Duh mkuu hongera kwa kutuonyesha tabia ya huyu jamaa,anaenda kwa yule kada almaarufu mla wake za makada wenzie mpaka akafumaniwa sasa anampelekea ------....
 
Haya Buku 7 FCCCC

refer to your thread


 
misiba waliyonayo chadema inatosha mkiongeza mnawaumiza wacheni tu wajifie.
 
Kwa maelezo yako tu yanaonyesha ww ni mdini namba 1. Halafu unajifanya hutaki udini. Kama huna thread bora usome za wenzako kuliko kufanya ujinga wako humu.
 
mungu ibariki Tanzania
mungu ibariki CCM
mungu mbariki Jakaya Mrisho mwana wa Kikwete na familia yake yote
mungu mmbariki Mwigulu Lameck Nchemba Madelu

na mungu mjalie maisha marefu ajaye rais wetu Ngoyai Edward Lowassa
 
Ni vema kujuta juu ya jambo lilofanywa kwa makosa kwa kutokuwa na uwezo juu ya jambo hilo kuliko kujuta juu ya makosa yalofanywa kwa kukosa uelewa juu ya jambo husika! Nchi yangu kwanza! kila la kher na Mungu akutangulie katka ujenz wa nchi yetu.
 
Hata ukiondoka unafikiri nutakumbukwa kwa lipi? bora umepundoka we mbwiga hujui uendako. Km kweli ulikuwa CDM weka kadi yako hapa tuione. Usiwapotoshe wengine
 
nilikuwa CHADEMA lakini sasa nimeamua kuondoka

Propaganda yako ni nyepesi sana wala haitaleta mazala kwa chama makini kama CDM yani unachoongea kinaonekana ni halakati za kupigania buku 7 za mwigulu pole sana ndugu.VIVA CDM
 
mabadiliko hayawezi kuja kupitia cdm

CHADEMA ndio wenye uwezo wa kuleta mabadiliko kila kitu kitakuwa kipya ukianzia na chama chenyewe kitakuwa kipya mambo yote yatakuwa ni ya kileoleo pia.Kuliko CCM ambacho ni chama ambacho kimezeeka upeo wa viongozi wake umefika kikomo mambo yote yataendelea kuwa yaleyale wizi uleule,ubaguzi wa kuvibaguwa vyama kwa kisingizio cha udini,ukabila na ukanda utaendelea vilevile,kuwabambikizia ugaidi viongozi wa upinzani utaendelea kuwa uleule.
 
Hata ukiondoka unafikiri nutakumbukwa kwa lipi? bora umepundoka we mbwiga hujui uendako. Km kweli ulikuwa CDM weka kadi yako hapa tuione. Usiwapotoshe wengine
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]

Hivi mzee mtanzania wa leo unafikiri utampotosha? wanapoteza mda bure, sema kwakuwa anaingiza siku hapo sawa.
 
Hauna jipya ktk this thread....,
Udini hausiani na utendaji wako wa kazi...! zungumzia udhaifu wa kiutendaji...! kuzungumzia dini hakuna mashiko....!,
 
Chama hiki kimekuwa hakina shukrani kabisa nchi hii na wala uzalendo kwa taifa ndio maana katibu mkuu mzee Slaa anaiunga mkono Rwanda

Kila kizuri cha Kikwete au CCM lazima CHADEMA wakitie kasoro,chama cha CHADEMA kinajulikana vizuri sana ni chama
kinachofadhiliwa na vyama vya makanisa ya Ujerumani na Denmark, hatujaona hata siku mija CHADEMA kinawasiliana na nchi za kiislamu duniani.mimi ni mchaga na sifurahikii kabisa na mipango ya CHADEMA wanavyofanya najua wakija kupata Urais wa nchi hii basi vitu viwili vikubwa vitatokea vita vya dini na ukabila na ndivyo CHADEMA wanavyoelekea.

kumtukana JK si kwa sababu ni mpinzani wao bali ni kwa sababu ni muislam mbona mkapa alivyokuwa anatawala CHADEMA wala vyama vingine walikuwa hawamtukani? kwa sababu ni mkristo? au kuna jingine?

Unaelewa maana ya neno ''TUSI?" Hebu tuwekee hapa hayo unayoyaita matusi ili tuone kama ni matusi au la! Kuna wapumbavu walikwenda kumshitaki mtu kwa kumwita mtu fulani -------- wakidai kuwa neno "--------" ni tusi. Mahakama iakaamua kua -------- au upumbavu si tusi. Ni sawa na ujinga! Nitarudi ukishaweka hayo unayoita matusi. Ilikuwa ni kesi nyepesi maana hawakuhitaji kwenda mahakamani bali walichohitaji ni kamusi tu ya kiswahili sanifu na kiingereza. Mpaka leo hatujawasikia tena kwani walibaki na aibu na ikadhihirika wazi kuwa nao ni wapumbavu kama yule aliyeambiwa ni --------!
 
Back
Top Bottom