Recent content by TTT

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini mwanamke si Mwenzio

    Jibadilishe uwe mwanamke na wewe. Nitakununulia gari.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki watakiwa kuisoma Katiba pendekezwa

    acha ujinga wewe. Piga mwenyewe kura ya ndiyo. Mjinga wewe.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    wewe mwenyewe ni mjinga mjinga, hata kuandika ni shida. Angalia serikali ulivyoiandika. Hufuati alama za uandishi halafu unajiona mjanja.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Serikali mnawanyonga Walimu!

    Wewe ulifundishwa na walimu wa wapi? Daraja la 5.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Serikali mnawanyonga Walimu!

    Kudahi au kudai. DARAJA LA 5.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    asilimia 41.5%
  7. T

    JamiiForums Tanzania Yupi Kati ya hawa ungependa awe rais wa Tanzania 2015?

    lowasa anafaa kuwa rais 100%
  8. T

    JamiiForums Tanzania UDOM kuna hatari ya waalimu kugomea mitihani, UTAWALA unafanya nini!

    sasa ndiyo umeandika nini? Hujitambui wewe!
  9. T

    JamiiForums Tanzania CCM kwanini tunapata upinzani mkubwa kwenye Vyuo Vikuu?

    acha uongo wewe, kasomeshwa kwa hela za walipa kodi. Wenye vyama na wasio na vyama.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wanajadili mambo ya Tanganyika Dodoma kwa faida ya nani!?

    kichwa majiiiiii!
  11. T

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA MDAHALO WA KATIBA - Changamoto za Mchakato wa Katiba mpya

    hivi wewe mpaka sasa hujui umuhimu wa katiba inayowabana viongozi?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji kwenda mtwara mjini kubadilishana na dodoma

    nipo mpanda mjini idara ya sekondari, nataka kuhamia shinyanga mjini au tabora mjini. Tuwasiliane 0712910730.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mgogoro L. Nyasa, Kushindwa kwa Uchaguzi Joyce Banda:CONNECT DOT

    Kama angekuwa anaongoza yeye katika uchaguzi huo, sidhani kama angefuta uchaguzi. Lakini anajidanganya. Mimi naamini Wamalawi wana hasira naye, hata hao wanaomwunga mkono, wamemwona wa ajabu.
  14. T

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu wa sekondari katika Halmashauri ya Mji Mpanda, atakayekuwa tayari kubadilishana kituo cha kazi, kutoka Nzega mjini au Shinyanga mjini. Piga 0712910730.
  15. T

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi mwalimu wa sekondari nipo Halmashauri ya Mji Mpanda, atakayekuwa tayari kubadilishana, kati ya Nzega au Shinyanga Mjini, PIGA 0712910730.
Back
Top Bottom