Recent content by TSUDUNI

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete hajapenda kuzungumza leo msibani

    Si kweli ! Aliongea wakati wa msiba wa Cleopa Msuya ! Kwani wakati Msuya akiwa waziei mkuu kikwete alikua rais?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1988 Chakachaka alipiga show Makondeko Kibamba kiingilio kilikuwa 100,000

    Acha up go acha uongo Kwa mwaka 1988 hakuna mtz wakawaida angeweza kumidu hiyo garama kiwango na thamani ya tsh Kwa kipindi hicho ilikua ni jela ya ki service idara ya serikali kabisa
  3. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Eginald PAN Mihanjo: CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

    Mwalimu wangu wa history udsm
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mjue bingwa wa proganda aliundiwa mpaka wizara yake

    Kizazi kipo ila hakiyumii Tena jina la Hitler kama ilivyotokea Kwa idd Amini wanafamilia wanaogopa kutumia jina maana linahamasisha kisasi na kunaweza kuleta kizazi kitakachoamini ushenzi na ukatiki wa Hawa jamaa ni sawana ushujaa na uzalendo
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Adolf Hitler

    Kinachofahamika kabla ya vita kuisha majenerali wengi walikua mstari wa mbele walishaelewa wanapoteza na hakuna uwezekano wa kushinda Tena vita vile ! Jinamizi alilotabiri na kuogopa cansela Bismarck lilikua limetimia ! Yeye aliogopa isijetokea ujerumani ikawa na vita Kwa pande za mashariki...
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

    Yaani ww ni mzigo aka zaga
  7. T

    JamiiForums Tanzania Siku kama ya Leo mwaka 1804 huko Ufaransa bwana Napoleon Bonaparte alijivika Taji kama Kaisari wa Ufaransa

    Uingereza imekua na bahati Sana Kila vita vilivyopiganwa Ulaya waingereza walibakia washindi hata vita ya pili ya Dunia wajerumani waliapta pigo kubwa Sana walipoivamia uingereza
  8. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepoteza Ladha ya tendo la ndoa

    Tafuta kiongozi wa dini akufanyie maombi Kwa uelewa wangu kidogo wa maswala ya spirits wewe tayari umekumbwa na jini Tena jini la kike jini mahaba kati ya hao mademu uliokutana nao yupo ambaye hakua binadamu halisi Sasa Kwa tabia zako za kuwachanganya changanya tayari ameku sort kinachofuata...
  9. T

  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

    njoo inbox nikufunde
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

    nayeye ukimpigia au akitaka kukutafuta anawaza haka kabinti kanataka kunichuna au kana taka kuniharibia malengo
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

    hahaha alafu unakaita kakijana kama yupo humu ujue ndio na msg hupati tena
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kupambana na mke wangu anayeninyanyasa kwa sababu anataka kutumia sheria kunifilisi

    Kwanza wewe mbona kama so mzawa kwanza hebu kuwa mkweli wewe ni mtanzania? maana uandishi wako duhh
Back
Top Bottom