Msaada: Nimepoteza Ladha ya tendo la ndoa

Tupo wengi kumbe
Hili jambo nilidhani ni mimi tu napitia lakini nahisi ni kitu hakipo sawa ..... Nina nguvu za kiume,nasimamisha fresh ninafanya mazoezi lakini inafika hatua sioni hamu ya mapenzi kabisa wala sitamani kufanya mapenzi mpaka sasa nina mwaka 1 na miezi sita sijawahi fanya mapenzi na pia sina hamu ya tendo kuhusu lishe nazingatia sana ...tena sana maji sana .... Kila asubuhi uume lazima usimame kwa nguvu kabisa kunikumbusha kuwa mimi ni nani lakini sina hamu na tendo wakuu na sijichui wala ninit
 
Chochote ukizidisha kina kinai. Solution achana na Sex mkuu kwa mda fulani Utarudi kwenye ubora. May be a year!!
 
Habari zenyu wataalam,

Nakuja kwenu kuomba ushauri na msaada wa changamoto inayonikabili miezi karibu sita sasa.

Nimekua nikishiriki tendo la ndoa na mademu tofauti tofauti, katika utofauti huo nimekutana na viji mambo mambo ya hovyo hovyo pamoja ya hayo nimechukulia ni tofauti za kimaumbile na makuzi.

Nimepata changamoto za kiafya ikiwa ni UTi na infection zingine za bacteria wanaombukizwa kwa njia za kujamiiana, kwakua hua na pima HIV pekee kujiridhisha na kuacha kupima STDs.

Sasa kinachonitokea sasa hivi nikutokusikia radha ya tendo la ndoa kiasi ya kwamba nimeacha kuomba tendo la ndoa kwa wanawake zangu mpaka wao watakapo force saana.

Nnapoelekea sioni faida ya kua na wanawake wala kufanya tendo la ndoa zaidi ya kukuaa single labda kujichua kama nikizidiwa saana. Hivyo naona ni jambo la hatari kwa mustakabali wa baadae,

Hivyo naomba msaada wenu tatizo ni nini na ni nini tiba yake.

Natanguliza shukrani🙏
Tafuta kiongozi wa dini akufanyie maombi Kwa uelewa wangu kidogo wa maswala ya spirits wewe tayari umekumbwa na jini Tena jini la kike jini mahaba kati ya hao mademu uliokutana nao yupo ambaye hakua binadamu halisi Sasa Kwa tabia zako za kuwachanganya changanya tayari ameku sort kinachofuata kama hutaimbewa itakua taabu kabisa
Amua kama ni mtu wa Imani Kwa Mungu anza maombi na mfungo pamoja na majuto kama ni mtu wa ulimwengu tafta mganga mzuri akufanyie manyanga ila bapendekeza utumie Njia ya kwanza
 
Tumia muhogo naz na parachichi utanishukur
 
Sema zinaa siyo tendo la ndoa.

Mkishakumbwa na balaa kwa uzembe au tabia zenu chafu muache kusumbua watu!
Ulivokuwa ukifanya ufuska kimya kimya ndivyo ule matunda kimya kimya
 
Back
Top Bottom