Recent content by Tsss

  1. Tsss

    Msaada: Morogoro - Ifakara kwenda na kurudi siku hiyo hiyo inawezekana?

    Unaweza kurudi gari ya mwisho saa 11-12 jioni Basi linafika Moro saa 4-5 usiku
  2. Tsss

    Wapi naweza Pata sehemu Nika print viroba?

    Azam tazara pale au Kwa watu binafsi mf.ninawajua jamaa mbagala Na kitunda kutegemea upo wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Tsss

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Jamani msaada nimepewa invitation Na shirika la dini marekani mwezi September Na barua nimepewa ya kuombea visa ila upande wa nauli nauli sjajipanga Na sijajua gharama zikoje Na usawa uliopo kwakweli nashindwa cha kuwajibu
  4. Tsss

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    william mwagamalindo mpiluka mufindi R.I.P Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Tsss

    Kusindika mahindi

    tafuta mifuko ya picks na a-z ni mizuri kwa kuhifadhia pia kunamapipa kihenge Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Tsss

    LAINI YA WAKALA

    Mtandao gani unataka
  7. Tsss

    Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

    Kwa mbingu kule no IPO ni pm
  8. Tsss

    Rice harvester ya kukodi inahitajika

    Mi ninamashine ya petrol ya kuvunia mpunga eka 3kwa siku
  9. Tsss

    Nahitaji small Rice Mill combined with Pulverizer

    Nenda ubungo Business Park kampuni inaitwa Polly machine wanazo nawanatengeneza pia
  10. Tsss

    Natafuta tenda ya kununua mahindi

    3000-5000 kwa gunia maana kunaushuru na pakia shusha
  11. Tsss

    Natafuta tenda ya kununua mahindi

    Mahindi huku songwe kg 100 tsh 60000
  12. Tsss

    Mifuko ya bidhaa

    Azam pale buguruni tazara
Back
Top Bottom