jashmoe32
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 1,088
- 423
Habari Wajumbe,
Naomba msaada wa mtu anaejua wanapotengeneza hii mashine au anaeweza kutengeneza hii mashine. Ni mashine ambayo upande mmoja ni Rice Mill na upande mwingine ni Pulverizer (kusagia unga) ambazo kila moja ina uwezo wa kuprocess 120 kg per hour (according to the manufacturer) ambao wako China. Nimewasiliana na watu wa China na bei ya mauzo ni around US $ 230 ila tatizo ni usafirishaji tu ndio unakatisha tamaa mana zote gharama zake ni above US $200 ndio mana nataka nione kama kuna mtu anaweza nisaidia.
Nimeattach picha ya hiyo mashine hapo chini.
Joel