LAINI YA WAKALA

namba moja tuu

Senior Member
May 4, 2017
162
142
habari zenu wakuu
natafuta laini za uwakala naombeni kujua
bei zake
mahali zinapopatikana
natanguliza shukrani
 
habari zenu wakuu
natafuta laini za uwakala naombeni kujua
bei zake
mahali zinapopatikana
natanguliza shukrani
Achana na hiyo kitu nunua machine ya Sellcom yani utafurahii hiyo Huduma ,kwa sababu kupitia hii mashine utatoa Huduma zaidi ya miamala ya kifedha.
 
Naomba niulize kati ya commission ya mashine za selcom na max malipo na line za uwakala i.e m-pesa, tigo pesa ipi ipo juu
 
hebu elezea vizuri hapo mkuu, hela yangu hiyo 600,000/= itarudi vipi na faida kwa muamala mmoja ni kiasi gani
Pesa inarudi kama ifuatavyo kila muamala unaofanya unalipwa camission ya 2.5 kwa Luku ,ila mpesa na mitandao mingine ya kifedha inaendana na mazingira ya kampuni husika.
 
Pesa inarudi kama ifuatavyo kila muamala unaofanya unalipwa camission ya 2.5 kwa Luku ,ila mpesa na mitandao mingine ya kifedha inaendana na mazingira ya kampuni husika.
2.5 million au?funguka zaidi maana tupo wengi tunaotaman kufaham kuhusu iyo sellcom
 
Naomba niulize kati ya commission ya mashine za selcom na max malipo na line za uwakala i.e m-pesa, tigo pesa ipi ipo juu
proxy naomba umjibu huyu wengine tunufaike, na ikiwezekana eleza taratibu na mahitaji ya kupata/kununua hicho kimashine cha selcom au Max malipo
 
Naomba niulize kati ya commission ya mashine za selcom na max malipo na line za uwakala i.e m-pesa, tigo pesa ipi ipo juu

selcom sijawai itumia lakini kama inafanya kazi kama maxmalipo(natumia hadi sasa) ni bora ukanunua line za mawakala zitakulipa zaidi ukilinganisha na maxmalipo

Pia hizi biashara za miamala za pesa inategemea na sehemu ya hiyo biashara ilipo
 
NI vyema ndugu ungeendelea kueleza zaidi maana naona hiyo selcom itasaidia sana kama inaukweli halisi
 
Anaeitaj laini za wakala Halopesa natengeneza kwa siku moja Tena kwa jina lako Cha msingi uwe na kitambulisho Bei ni Elf 30000 tu..!! Kwa mawasiliano zaidi nipigie namba hii 0659202222
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom