Natafuta tenda ya kununua mahindi

Apr 29, 2017
11
5
Wadau Mimi naitwa Keleni niko kasulu natafuta matajili watakao nipa tenda ya kununua mahindi sisi hapa kasulu mahindi ni mengi kwa bakuli la kilo moja na nusu tuna nunua shilingi 1000 naomba kazi hiyo kwa ninyi ambao mko mikoani nitafute kwa namba 0757250813 au 0745053835
 
Gunia kilo 100 bei gan tuanzie hapa kwanza maana umetoa mfano wa bei ya kibakuli cha 1000 kitu ambacho watu wa mikoani hawawez kuagiza
 
Nahitaji tani 30 za mahindi ya sembe kila baada ya wiki mbili 0764800989 Alfred, kiwanda changu kiko Kigamboni
 
Back
Top Bottom