Yaani mkuu, sikuhizi ukiona mwanamke kapiga picha isiyo ya kumbukumbu mfano katoka na marafiki, kamaliza mtihani au mkutano fulani, kumbukumbu za kibiashara n.k basi huyo kapiga picha ili mwili uonekane, haijalishi kavaa nini.
Picha kwa malengo ya kumbukumbu zinajulikana na picha za kumarket...
Ist ni maintenence na resale value tu, hakuna sababu nyingine. Ni gari ambayo kama una dharura ya haraka ya pesa unaipata hiyo pesa. Ni kama umewekeza kwenye gari.
Mtu amesema kama ana hatia anyongwe, kama hana hatia aachiwe huru. Hakuna kitu hapo katikati zaidi ya uhuru au kifo, hakuna huruma, hakuna msamaha. Sasa hiyo huruma unayosema anaitaka wewe umeitoa wapi?
Kuna aina za mawasiliano mwanamke akishazikubali tu ni mkataba kuwa ukiomba muonane basi unataka huduma ya ngono.
Mawasiliano ambayo hayana muelekeo huo huwa yanaonekana tangu mwanzo. Mfano mtu anauza masufuria mtaongea kuhusu masufuria kwa uwazi na uhitaji wa kukutana kama upo utaonekana kwa...
Huwa wanashauri kama vile hii nchi imetenga eneo maalum la kukuhifadhia familia au kukuhifadhi ikitokea umeshindwa kutengeneza pesa ya kodi kwa sababu yoyote ile.
Sehemu ambayo mtu akiringaringa unaweza sita kumkumbusha kuwa yeye ni mtumishi ni hospitali esp ukiwa mgonjwa maana binadamu mwenye hasira usimwamini na mwili wako, sehemu nyingine ni polisi ukiwa mtuhumiwa wa jinai maana kwa mazingira yetu afisa mwenye hasira ana nafasi ya kufanya jambo lako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.