Yeah tena nimezaliwa January 😅Ooh kumbe😆. Lkn nimesema 45plus
Bure kiajeKwani unakula Bure jamani 😅
Haya bana. We endelea kwanza kulewaYeah tena nimezaliwa January 😅
Chapa tu hujakatazwa ila usikutwe na bwana pepsi.Wanaume mlioamua kuoa, timizeni wajibu wenu. Msiwaache wake zenu wakizunguka huku na kule wakijileta kwa wanaume ambao hawana hata mpango wa kuoa. Sisi hatuna mazoea nao, lakini wao ndiyo wanajisogeza sogeza tu!
Kama uliamua kuoa kwa hiari yako, basi simama kwenye nafasi yako. Mpe mkeo muda, upendo na huduma anazostahili. Usimwache akatafute faraja nje ya ndoa, halafu baadae uanze kulaumu jamii.
Hakuna aliyekulazimisha kuoa. Kama ulikuwa na ujasiri wa kuingia kwenye ndoa, uwe na ujasiri pia wa kubeba majukumu yake.
Mnatuletea usumbufu bure. hatuna mazoea na wake zenu, lakini wao ndiyo wanajileta wenyewe. Timizeni wajibu wenu!
Wengine wanahudumiwa vizuri tu sema ni hulka zao tu za kutaka zaidi.Wanaume mlioamua kuoa, timizeni wajibu wenu. Msiwaache wake zenu wakizunguka huku na kule wakijileta kwa wanaume ambao hawana hata mpango wa kuoa. Sisi hatuna mazoea nao, lakini wao ndiyo wanajisogeza sogeza tu!
Kama uliamua kuoa kwa hiari yako, basi simama kwenye nafasi yako. Mpe mkeo muda, upendo na huduma anazostahili. Usimwache akatafute faraja nje ya ndoa, halafu baadae uanze kulaumu jamii.
Hakuna aliyekulazimisha kuoa. Kama ulikuwa na ujasiri wa kuingia kwenye ndoa, uwe na ujasiri pia wa kubeba majukumu yake.
Mnatuletea usumbufu bure. hatuna mazoea na wake zenu, lakini wao ndiyo wanajileta wenyewe. Timizeni wajibu wenu!
Kwani si anajua alichokifata kwake jamani amle halafu ampeBure kiaje
Demi tunaweza kufanya kitu ujue 😅 juzi kati nilipata singo maza mmoja kanifinyia mwanangu makovu kila kona , nilimtumulia mbali kwasimu moja tu, kupata mwanamke atake weza ishi vizuri na watoto wetu sisi single faza ni mtihani sana🥲Haya bana. We endelea kwanza kulewa
Umenyooka kma rula aseeeKwani si anajua alichokifata kwake jamani amle halafu ampe
Hahaha. Hii kali.Hizi K kuna umri ukifika unaona ni ubatili.... Wewe kula tu, wakati mwingine mwenye mke anajua na anashukuru umempunguzia majukumu
Mimi sio single maza ni mke.wa mtu. So njoo at your own risk.Demi tunaweza kufanya kitu ujue 😅 juzi kati nilipata singo maza mmoja kanifinyia mwanangu makovu kila kona , nilimtumulia mbali kwasimu moja tu, kupata mwanamke atake weza ishi vizuri na watoto wetu sisi single faza ni mtihani sana🥲
Ndo Iko hivo 😊Umenyooka kma rula aseee
Kufjnywa lazima , ila ndio afinywe na kimndo mpaka kuacha makovu kama mwizi halafu mtoto wa kike ?Mimi sio single maza ni mke.wa mtu. So njoo at your own risk.
Halafu mtoto lazima afinywe bana
Yeah I like your energy , kuliko ujambazi wa kona kona bora mtu anyooke kama rula😄Ndo Iko hivo 😊
Sasa wakiniketa wee sii ndio uwagegede mwanawans maana hamna jingine wanaweza kupa ukiondoa mbunyeWanaume mlioamua kuoa, timizeni wajibu wenu. Msiwaache wake zenu wakizunguka huku na kule wakijileta kwa wanaume ambao hawana hata mpango wa kuoa. Sisi hatuna mazoea nao, lakini wao ndiyo wanajisogeza sogeza tu!
Kama uliamua kuoa kwa hiari yako, basi simama kwenye nafasi yako. Mpe mkeo muda, upendo na huduma anazostahili. Usimwache akatafute faraja nje ya ndoa, halafu baadae uanze kulaumu jamii.
Hakuna aliyekulazimisha kuoa. Kama ulikuwa na ujasiri wa kuingia kwenye ndoa, uwe na ujasiri pia wa kubeba majukumu yake.
Mnatuletea usumbufu bure. hatuna mazoea na wake zenu, lakini wao ndiyo wanajileta wenyewe. Timizeni wajibu wenu!
Ah mi nataka mwanaume aliyechoka na ndoa yake aje tuliwazaneKufjnywa lazima , ila ndio afunywe na kimndo mpaka kuacha makovu kama mwizi halafu mtoto wa kike ?
Kuhusu mke wa mtu , tutafnya kampeni tu🤣
😅We nipe tu sifa za kijinga nisiolewe 😅😅😅Yeah I like your energy , kuliko ujambazi wa kona kona bora mtu anyooke kama rula😄
Mimi nimechoka na ndoa ya bia , tuliwazane ila hatufanyi😜Ah mi nataka mwanaume aliyechoka na ndoa yake aje tuliwazane