Recent content by Tschaka Zulu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki

    Am your friend
  2. T

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wanaume

    Good!
  3. T

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI: IMF hawajakosea, Uchumi wetu ni ‘DHAIFU’

    Clear analysis bro!
  4. T

    JamiiForums Tanzania NMB: Makato mapya kwa wateja wa NMB yaja yakiwa yameongezeka mara mbili zaidi ya sasa?

    Kakope pia Bayport daaah, kopa 1100000/= unalipwa 800000, ukiwauliza unaambiwa RV imepanda cjui mara imeshuka yaani wizi mtupu. Nawapa RAI watumishi BAYPORT wamekuja kivingine
  5. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini Tanzania acheni kulamba viatu vya wanasiasa simameni imara

    A Are you serious????
  6. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

    Acha mambo zako kijana na kudhalilisha watumishi, unadhan sisi wajinga hivyo. Nini serikali inawafanyia watumishi zaidi ya kuwaumiza tu alafu inategemea matokeo mazuri. Ni udhalilishaji kusema kuwa WATANZANIA tunategemea serikali kwa kila jambo ilihali WATANZANIA tunapambana na hali, zetu...
  7. T

    JamiiForums Tanzania DAR: Zitto Kabwe akamatwa na Polisi kituo cha Oysterbay, ahojiwa na kuhamishiwa Kituo Kikuu cha Polisi

    Alikuwa anatafuta nini?????? It's not fair bhana, baada ya kumkamata Cyprian Musiba,,anakamatwa ZZK. Duh
  8. T

    JamiiForums Tanzania ITV, EATV na Star Tv kutolewa kwenye king'amuzi cha StarTimes

    Mwisho gani unaoungojea, hapa ndio mwisho ushafika
  9. T

    JamiiForums Tanzania ITV, EATV na Star Tv kutolewa kwenye king'amuzi cha StarTimes

    Yaan aseeeh ni tabu tupu, Azam hakuna kitu nako ndio hivyo tena, huu ni kweli MKAKATI ulopangwa.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Shaping the future of Tanzania’s governance and development: What role for the Parliament?

    Angalia,soma kisha tafsir aya ya mwisho anapohitimisha makala yake ,lipo jambo kashauri
  11. T

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa mkoa wa Mwanza kufungua akaunti maalumu kwaajili ya kukusanya rambi rambi. Tujiandae kutoa kwa upendo

    Haaa haaa haaa!!!! Naona tayari mafaili katika ubongo wa nyuma yakifunguka taratiiiibu,,,,tuwachangie wafiwa jamani, mzee atatoa 500,000 kwa kila mwili utakaotambuliwa. Kwa nn basi ww nami tusitoe jaman
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Leo, nampa Tuzo ya Heshima Pascal Mayalla

    Pascal Mayala anastahili heshima hiyo, swali km lile tena ndani ya nyumba ya mfalme duuh
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mwijage: Dangote ana matatizo ya mkataba, hatujampa gesi na hatuwezi kumpa mpaka mkataba wake uwe sawa

    Hawa wateule wa RAIS hawana msaada kwa mh RAIS
Back
Top Bottom