KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
LOooo, leo umejitutumua kweli. Sijapata kuona ukichangia mada kwa kirefu hivi, halafu ukaeleweka unaandika nini! Hii ni hatua nzuri na ya kupongeza, hata kama uliyoandika sikubaliani nayo.Kwi kwi kwiiiiii
Sifundishwi niandike nini humu.. mimi naburudika nitakavyo. Pia mimi sina chama nilichomo zaidi ya kuwa na kadi zile tulipewa kwa kupewa tu enzi za enzi mashuleni.
Najiamini na huwa siachii kitu ninachokisimamia. Wewe at times ni bonge la kigeugeu kada wewe.. mtajiju
Mkiandika jueni wengine tunajua kusoma katikati ya maneno na herufi pia..