Recent content by truth

  1. T

    JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    Hebu tusaidie kitaalamu haya matukio yamesababishwa na nini hasa?. Naomba majibu yasiwe ya CCM Vs CDM naomba sababu za kitaalamu nadhani wenzetu mnaweza kuwa na fununu kidogo.
  2. T

    Tamko jipya la serkali kuhusu mabomu ya gongo la mboto!!

    Happly Joking because you don't have any concern for those who lost their lives due to the incident. you have lost the moral regard for humankind!. what is the difference between you and a dog for instance?. A dog has no moral values! .
  3. T

    Kwanini viongozi wa CHADEMA hawajaenda kuona wahanga?

    material compensation YES but for a human being POLE counts alot. unless you are not a human being! vinginevyo kama unajua maana ya kupotelewa na watu muhimu ktk maisha basi ungeweza kujua POLE ina umuhimu gani. put aside the politics at least for now moral and financial support kwa hao wenzetu...
  4. T

    Swali: Je wangapi waliona helcoper zetu za polisi na jeshi wakati wa G'MBOTO?

    Common sense ni jibu la hoja yako.Nadhani hata ndege zilizuiwa kuruka past maeneo hayo for the same reason.
  5. T

    TBC1 - Vita ya Kagera & Milipuko ya Mabomu Gongo La Mboto !!!

    I normally call this kind of thinking negative thinking!!! why not think otherwise?
  6. T

    Sababu za kulipuka mabomu haziridhishi...

    nakubaliana.na.wewe kwa baadhi ya issues lakini conclusion ya kwamba ni uzembe I beg to differ for the time being mpaka wachunguzi watakapotoa taarifa za kichunguzi. la kukumbuka ni kwamba JKT was meant to be dynamic in nature na ndio maana greece, israel na kwingineko ni hot cake kwa kuwa...
  7. T

    Sababu za kulipuka mabomu haziridhishi...

    labda wataalam mlioko kwenye cyberworld mtwambie wakati makambi hayo mawili yanajengwa how far were they from residence?, from strategic point of view .......???, unaweza kuwa smart katika polojo, lakini jiulize how many failures are their ktk mazingira yako ya kazi au biashara, unabahati kwamba...
  8. T

    Sababu za kulipuka mabomu haziridhishi...

    ??? uwiiiii! unalinganisha na sudan?, kumbuka sudan yanatumika kila yanaponunuliwa, kwetu yanachakaa kwa kuna hatuna vita za kijinga, tuwasaidie wanajeshi wetu mawazo ya kitaalam kama tunadhani kuna masuala tuna utalamu nayo ili watulindie taifa letu vyema. my friend keeping the high sprit of...
  9. T

    Peoples` power...

    Here is the TRUTH, ni dalili za uroho wa madaraka!!!. nasikitika kwa kuwa hizo si dalili njema kwa chama chenye wasomi kam CDM tulichotarajia kisaidie kuunda timu imara ya upinzani bungeni. Dunia ya sasa is Teamwork that counts and that counts well.
  10. T

    When a president becomes a thief ... .... .

    Hoja yenye akili hai hitaji lugha chafu, jenga hoja yako na great thinkers wa JF tutakuelewa. Kwa lugha za hovyo unaharibu hata hoja yako. I guess ni mhamiaji toka nchi ya jirani. KARIBU SANA but you have no respect to your elders!, you can learn at least.
  11. T

    CHADEMA kutoa tamko rasmi kuhusu mauaji ya raia ARUSHA.

    Katika suala la maisha ya watu tusifanye mzaha, tamko litasaidia nini kwa familia za ndugu zetu waliopoteza maisha?. Please don't play old style politics in this age of humankind. You CDM and the police all have a role in the deaths of those who lost their lives thinking they are fighting for...
  12. T

    RA anao utajiri wa zaidi ya 555bil kwa mwaka.Yeye amekiri kuwa ni kweli LEO

    Everyone including you is free to contribute ideas BUT this one how PRACTICALLY do you Make it work???!
  13. T

    Polisi walalamikia uduni wa makazi yao

    Where is your GREAT thinking capability??. Aliyeweka post mwingine all of the sudden unawatukana watu wengine! Yangu macho!
  14. T

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Nadhani hii Hali silo ya kuanza kutolea maelezo simple namna hiyo, hauko Arusha nadhani!!!
  15. T

    T-shirt za dr slaa

    Hivi unafikiri Hali tuliyonayo yawed kurekebishika kwa kuvaa T-Shirt, even CCM has T-Shirts lots of the them. Tunahitaji watt wazungumzie kufanya kazi, kuacha uvivu na umahili wa kukosoa tu, show what you can do not T-Shirts!!
Back
Top Bottom