When a president becomes a thief ... .... .

Wakuu zangu mimi naamini kabisa kulikuwepo na uchakachuaji mkubwa sana kiasi kwamba hata kwa kufikiria tu haileti maana..
Ebu tazameni hili:- Katika uchaguzi wa mwaka 2005, matokeo yalikuwa haya..

Kikwete alishinda kwa kura 9,123,952 sawa na asilimilia 80.28, Lipumba (CUF) kura 1,327,125 sawa na asilimia 11.68, Chadema iliyowakilishwa na Freeman Mbowe kura 668,756 sawa na asilimia 5.88 na TLP kupitia Augustine Mrema kura 84,901 sawa na asilimia 0.75. NCCR-Mageuzi iligombea kiti hicho kupitia Sengondo Mvungi aliyepata kura 55,819 sawa na 0.49, Christopher Mtikila wa DP kura 31,083 sawa na 0.27 na Dk. Emmanuel Makaidi (NLD) kura 21,574 sawa na 0.19.

JUMLA ya Kura zote zilikuwa 11,313,210, ukijumlisha hapo juu, leo kweli mtu anaweza kunambia ati mwaka huu 2010 kumekuwa na wapigakura wachache kuliko mwaka 2005?..hii kweli inaingia akilini?..tena baada ya vitambulisho vya kupigakura kuwa ni kitambulisho muhimu sana ktk shughuli nyingi sana za usajili kitaifa leo tunaambia ati kati ya waliojiandikisha millioni 20 wamejitokeza tu millioni 8 na ushee..asilimia ndogo kuliko uchaguzi wowote ulowahi kutokea nchini!...
Jamani hata kama NEC wanataka kuchakachua basi sio hivyo huwezi kuua kura zaidi ya millioni 5 ili mradi mtu fulani ashinde...
 
Naongelea utaratibu wa huru na haki tulioweka na tulioufuata.

1. Mawakala wameshiriki.

2. Wagombea wameshiriki

3. Observers wameshiri

ripoti ya observers inasema uchaguzi ni huru na haki

sasa huo wizi unatokea wapi kama sio kuzua yasiyokuwepo?

Dr slaa alianza kuonyesha dalili za uchochezi tanguu alipokuwa kwenye kampeni, alipoleta msamiati wa kuchakachua. Hapajachakachuliwa kitu; ccm ingeamua kuchakachua isingeachi majiji ya mwanza na arusha. Jamani, tuheshimu uamuzi wa watanzania.

Una macho ila huoni. We unadhani Chadema inaposema imeibiwa kura hizo habari kaleta nani kama sio mawakala? Nadhani umeshajijibu hapo... Au ulifikiri Slaa mwenyewe alikuwa anapita kila kituo? Kuchakachua ndio kazi ya CCM, inawezekanaje matokeo akishinda wa CCM tuu yanatangazwa haraka ila akishinda upinzani yanacheleshwa sana!
 
Hizi ndio fikra za watu wasioheshimu kura.

Tumeweka utaratibu.

Tumesshiriki.

Tumemaliza.

Tunakataa.

Tungeshinda tusingetoa shutuma.

Hata usalama wametutanabahisha kuwa chadema wanapenda kutumia uongo kwa propaganda

Wewe ni FISADI TU...
 
Well said, Wcha1! Well said. atatawala kwa shida sana knowing very well that he and his NEC rigged votes. which constituacy will he visits without coming face to face with redicules from thetho people whose votes he rigged. These five years he will pay the price!
 
Wakuu zangu mimi naamini kabisa kulikuwepo na uchakachuaji mkubwa sana kiasi kwamba hata kwa kufikiria tu haileti maana..
Ebu tazameni hili:- Katika uchaguzi wa mwaka 2005, matokeo yalikuwa haya..

Kikwete alishinda kwa kura 9,123,952 sawa na asilimilia 80.28, Lipumba (CUF) kura 1,327,125 sawa na asilimia 11.68, Chadema iliyowakilishwa na Freeman Mbowe kura 668,756 sawa na asilimia 5.88 na TLP kupitia Augustine Mrema kura 84,901 sawa na asilimia 0.75. NCCR-Mageuzi iligombea kiti hicho kupitia Sengondo Mvungi aliyepata kura 55,819 sawa na 0.49, Christopher Mtikila wa DP kura 31,083 sawa na 0.27 na Dk. Emmanuel Makaidi (NLD) kura 21,574 sawa na 0.19.

JUMLA ya Kura zote zilikuwa 11,313,210, ukijumlisha hapo juu, leo kweli mtu anaweza kunambia ati mwaka huu 2010 kumekuwa na wapigakura wachache kuliko mwaka 2005?..hii kweli inaingia akilini?..tena baada ya vitambulisho vya kupigakura kuwa ni kitambulisho muhimu sana ktk shughuli nyingi sana za usajili kitaifa leo tunaambia ati kati ya waliojiandikisha millioni 20 wamejitokeza tu millioni 8 na ushee..asilimia ndogo kuliko uchaguzi wowote ulowahi kutokea nchini!...
Jamani hata kama NEC wanataka kuchakachua basi sio hivyo huwezi kuua kura zaidi ya millioni 5 ili mradi mtu fulani ashinde...

Bwn Mkandara mimi sijibu hoja yako ila ni maoni tu. nadhani akiwa anaingia Rais mpya kuna kuwa na changamoto zaidi na watu wanakuwa serious kupiga kura. ila kwa sasa kuna mijitu mingi ilikuwa inasea aaaagh Kikwete atapita tu bwana hata ukipiga kura hubadilishi kitu.
pia uchaguzi huu kuna watu wengi walikuwa wameji organize kurinda kura na wengi wao hawakupata muda wa wao wenyewe kupiga kura
 
aptanzaniaelection3nov2.jpg

There are those people, who thought that CCM will relinquish power on a platter, they were wrong. They never knew that CCM thugs are used to power and they will do anything possible under the sun to remain in power warning the Americans and British colonial masters not to interfere despite the opposition crying foul.

Never in the history of this country had the majority of people voted for the opposition in the country regarded as the haven of peace, time will tell what will happen next.

Jakaya Kikwete is in dilemma because he knows and the majority knew time is up for him and his party. He might not survive the full 5 year term as he has gone into the path where nobody dared to go. He will need all the support from his close friends whom he thinks will help him including his own son who wields a lot of power within the inner circle but ridiculed by scholars as a failure. The people of Tanzania spoke with their votes, now its time for action to those who can read between the lines. The damage has been done and a lot of Tanzanians will never trust this Government for a very very long time to come. The people will know that they're on their own and should do anything possible to survive and fight the foreign occupation in the name of EAC. The worth of this country is given just like tokens to those chosen by Jakaya Kikwete and his thugs, no wonder his campaign was feigned by his wife, cousins, chickens, cows and his children but not the party.

What will happen next is anybody's guess, but people aren't stupid and time will tell who the real winners are.

hivi kura zilizoibiwa ni ngapi? naona kuna vitu vinanichanganya eti Raisi alipaswa awe wa Chadema ina maana kura zilizoibiwa ni zaidi ya million 3? na wabunge walioibiwa ni wangapi? ni wote waliogombea kupitia Chadema? kama kuna baadhi ya data ni vizuri tuzijadili ili kuwa realistic
 
Unauliza majibu? Kwani rais ni lazima awe wa Chama Cha Majambazi? Hiyo millioni tatu umeipata wapi? Endelea na ukuwadi wako lakini utabaki kuwa masikini hadi kiama and a waste of time and space in this generation.
 
Dr. Slaa alituhabarisha kwamba huyu ndiye mmiliki halisi wa Dowans RA ni kuwadi tu kwa sababu JK hawaamini wakwere wenzake anafuata footsteps za Mkapa. Sasa Sisi Watanzania ambao tulisomeshwa ili kulinda maslahi ya hili taifa kweli watu wawili na vikaragosi vyao watushinde?

Hata ukiangalia msemaji wake ni mnyarwanda, yaani huyu kibaka kweli atusumbue. Watanzania waliokuwa na uwezo wa kukomboa nchi za kusini mwa Afrika leo wamekuwa hawana nguvu. Sio kweli Watanzania ni wavumilivu lakini kwa huyu mkwere naona wamefikishwa kwenye point of no return.
 
Hoja yenye akili hai hitaji lugha chafu, jenga hoja yako na great thinkers wa JF tutakuelewa. Kwa lugha za hovyo unaharibu hata hoja yako. I guess ni mhamiaji toka nchi ya jirani. KARIBU SANA but you have no respect to your elders!, you can learn at least.
 
PRESIDENT Jakaya Kikwete has asked African politicians to develop a culture of accepting defeat during elections.

Mbona wewe umeshindwa kufanya unachohubiri?
 
Back
Top Bottom