Achana na mapepo hayo yasioonekana, tuanze na vibaka wa mtaani kwanza tukemee wote waache, kisha washerati na wazinzi, kisha umasikini na magonjwa.
Unakoromeanaje na pepo ambaye hatumuoni?
Polepole sio mtu wa kumwamini ni kama mke aliyeachwa (Zaylissa) lazima akuchafue mme ( mara jogoo hapandi mtungi na uharo kama huo)!
Nitamuamini akiandika MCHONGO WA KUMUUA LISSU na wahusika wake! Hiyo ndiyo litmus test yake!
Gas imeanza kuisha pole pole! Awahi tu kwa Pastor Tony akapuliziwe!
Mpinzani wa kweli ni nani? Tusimamishe uchaguzi wa watu milioni 60 kisa kuna matakwa ya kikundi cha watu 1000? Wtf!
Mkimaliza huko mje huku kwangu nimezungukwa na makanisa matatu haya ya reja reja watu hawazidi watano! Lakini kuanzia Ijumaa ni mkesha kelele za muziki, maombi ya kufokafoka! Sasa zidisha mara 3!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.