Recent content by TRUE TANZANIAN

  1. TRUE TANZANIAN

    Happy Birthday Shunie!!!!!!!

    I luv u Shunie but most of all Happy Birthday live longer!
  2. TRUE TANZANIAN

    Mwanaume changia hapa, mwanamke atakayekupa like zama naye PM

    Hata wanaume tunapopenda mademu wa kali tunashindwa kusema especially mimi... Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
  3. TRUE TANZANIAN

    JF members awards (no cash money) only recognition..!

    1.Sky 2.Faiza Fox 6.Kasinde 14.Nyani Ngabu
  4. TRUE TANZANIAN

    JF members awards (no cash money) only recognition..!

    7.Mshana J. 10.Lemutuz Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
  5. TRUE TANZANIAN

    Machache usiyoyajua kuhusu mapacha

    Daaah nikaribie nikuambukize rafiki mimi ninao.
  6. TRUE TANZANIAN

    RIWAYA: Mifupa 206

    Asante kwa zawadi ya mwaka mpya maana atleast jana usiku ulikuwa muruww kabisa. Simulizi imekaa vzr
  7. TRUE TANZANIAN

    RIWAYA: Mifupa 206

    Happy New Year 2018 Banker[emoji319] [emoji312] [emoji322]
  8. TRUE TANZANIAN

    Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Lakini tatizo moja naliona ni kwamba kuna nchi inabidi uwe naviza kabla ya ile ya moja kwa moja unayoiendea hivyo inakubidi tu ukate viza mahsusi.
  9. TRUE TANZANIAN

    RIWAYA: Mifupa 206

    Banker! Umetisha simulizi imekaa vizuri sana.
  10. TRUE TANZANIAN

    Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    Anaanzaje kuachwa wakati mungu wa dalisalama alisema Dad is coming! Na leo kweli amekuja!
  11. TRUE TANZANIAN

    Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    Ndio maana rais alisema sheria inasema hivi na pia inampa mamlaka rais kufanya vile yeye aonavyo. Hivyo sawa tu alichokiamua.
  12. TRUE TANZANIAN

    RIWAYA: Mifupa 206

    Kazi nzuri na yakipekee mheshimiwa Banker. Usinisahau kunitag kamanda!
  13. TRUE TANZANIAN

    Mambosasa: Kilichopelekea mwanafunzi wa UDSM akamatwe ni kusambaza uzushi mtandaoni

    Kamanda anaidhalilisha intelijensia yake. Wanasema sisi kama raia tunapaswa tushirikiane na polisi ktk kutoa taarifa hasa za ualifu. Kinachoonekana hapo ni sawa na uhalifu ambao unaweza hatarisha maisha ya watu na mali zao. Na lengo la mtoa habari ni kufikisha habari ili ufafanuzi upatikane...
Back
Top Bottom