Exim bank is the best wana kitu cha nyota account kwa mtoto ni safi sana !! Interest ya 7 % kwa kila kiasi wanachokikuta kwenye account mwisho wa mwezi !! Unaweza ju withdraw mara tatu kwa mwaka tofauti na benk zingine withdraw ni mara 2 !! Kiwango cha kufungulia ni buku 10 tu .. Karibu pale...
Haaa leo nimeingia pale mlimani city ni shida chooni hakufai kabisa kisa maji hamna ..nina rafiki yangu mmoja anafanya kazi kwenye ofisi moja pale ndani mlimani city nikampigia ile nitumie vyoo vya ofisi yao nako balaaa yaani du hii nchi ni majanga
Yaani kila mshikaji unayempigia simu kumuitia shavu anakuambia kaka mi fresh niko na kampuni flani yaani da hadi raha unabaki kuangalia wazee wa sociology wanavyo haa na bahasha za khaki mjini !!
Kuna kozi hapa tanzania za marine zinatolewa pale dar es salaam maritime institute ...ni degree ya marine transportation combined with certificate of competence class 3 na degree ya marine engineering mi ni miongoni mwa graduate !! Hamna hata mmoja tuliye graduate nae asiyepata kazi ! Kwa kweli...
Clouds wenyewe washamuona dogo si chochote wanataka kumrudisha mtu wetu tunayemtaka watanzania !! COME ON ALLY K FOR REAL ...THE BEST VOCALIST OF ALL TIME !!! TEAM DANGOTE WAPI !!! WATU KIBA KIBA KIBA KIBA KIBAAAAAAAA NDO TUSHAANZA SASA !! THE KING IS BACK
Ishu si kujumuika nao !! Unaona t.i anavyocheza na jukwaa vuta picha ingekua ni usa haoo mashabiki but ameweza kuwatingisha mashabiki !! Tatizo la weusi jukwaa wanalibana wanaganda sehemu moja
Kama kichwa cha habari kilivyo ..kwa sasa kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kutumia hii kitu ugoro, nina maswali kwa wanaJF.
1.nataka kufahamu madhara ya hii kitu maana nahisi vijana wanahangamia
2. Mbona serikali haipigi marufuku hii kitu na kukamata wamasai wote wanaofanya hii biashara coz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.