Recent content by True legacy

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

    Duh[emoji1784]
  2. T

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali imebadili Magari ya Wakuu wa Mikoa?

    Eti kijifunza bashite noma, wiki ijayo atakuwa serengeti na mkewe wakijifunza, mwana wa wamfalme
  3. T

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali imebadili Magari ya Wakuu wa Mikoa?

    Bashite bhana jambo dogo tena la kibinafsi lakini full makemera. anajifunza nn ameenda kula bata anajificha kwenye kujifunza ili atanue na mali za umma.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mkuu wa mkoa wa Mtwara

    So what? Mkuu wa mkoa hana chochote cha kubadili full politics sikipendi hiki basi tu. Cheo cha kikoloni na chama kushika hatamu.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: Uongo wa dereva wa Lissu ni kusema umefuatiliwa na gari muda wote hujachukua hata Namba ya gari?

    Aliandika kwenye platform ipi tumfuate huyu mpuuzi msaka tonge.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

    Anajifunzia kwetu?, he doesn't know how things work anadhani ni enzi za sokoine na chama kushika hatamu. Miaka 5 si punde inakata chukua 2010-2015 na 2015-2020 pima pamoja bila unafiki utaona anakotupeleka na tofauti iliyopo. Amejenga barabara km ngani zaidi? Amenunua bombadier jiulize kwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Naomba kujua kama kuna mtu amewahi kununua vitu kupitia ebay, alibaba au amazon. Huduma zao vipi?, TRA wanatozaje ushuru? na pia vipi muda wakupokea ni kadri ya mkataba?. mwenye uzoefu atushirikishe?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wanyoge dhidi ya makaburu yenye mavazi ya uzalendo

    Naomba niongee na wahitimu wa vyuo vikuu, wanachama/wapiga debe wa makaburu na wadaiwa wa mikopo kutoka Heslb. Nina jamaa yangu amehitmu chuo miaka3 iliyopita na ametoka familia zilitokana na tunda la ccm kipato cha chini wao huwaita wanyoge. Mkopo alipata 60% na 40% iliyobak aliingia mkataba...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tuwapongeze Kenya lakini tuwalaani hawa pia

    Andiko la kijinga, mpaka leo makaburu na katiba yenu yakina chenge mnakimbia kivuliani chenu mliishia kula hela zetu. Makaburu, watesi wetu. #2020ccmustgo. Jamaa kufika magogoni anaulizwa vp katiba mpya eti cyo kipau mbele changu. Ni kwa ajili yako au yetu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli namuunga mkono: Viwanda vya Mwalimu lazima virudi!

    They think arrogantly. Tatizo ni eneo la kujenga viwanda? au tatizo ni uwepo wa viwanda vinavyofanya kazi, Matatizo yaliyovikuba viwanda vingi ni outdated technology, mitaji na vilifikia hatua ya "cash cow" kwa hiyo wanaoota viwanda vitafanya kazi na waendelee. Kikubwa watanyang'anya watu mali...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Serikali imekichukua kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries, Mwanza

    Umetumia neno sahihi waliovinunua, mali yao sasa wananyang'anywa enzi ya utaifishaji zimerejea. Maeneo yapo siwajenge vyao au waunziwe na wao. Hakuna mfanyabiashara yoyote ataacha biashara inayomlipa labda mwendawazimu. Watachukua kuvifanya vifanye kazi ndiyo mtihani.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Serikali imekichukua kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries, Mwanza

    Huu ndiyo ujinga wa nchi hii ya kusandikika eti kimerundishwa ili kibinafisishwe au wamalizie bati na zenge Kama walivyofanya kilitex au tanganyika pekers. Serikali inatuambia haijengi viwanda sector binafsi upande mwingine na haitaki kuvutia mitaji ya nje kwa kuwa imeharibu mazingira ya...
  13. T

    JamiiForums Tanzania TRA yaikadiria ACACIA deni la Tsh. Trilioni 425.4 kama Malimbikizo ya Kodi

    Ukweli ni kuwa hizi ni sarakasi na wanajua wanachofanya, kama ni kweli kodi kiasi hiki haikulipwa basi tuna taasisi dhaifa hajawahi tokea dunia. Kama si kweli alitaka kuwafukuza au kufidiwa basi ushauri Wa lissu unamashiko, lakini akitumia nguvu ya maneno na mdomo akaacha hoja akawatimua kisanii...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Viongozi wa CHADEMA: Sekretarieti ya Makao Makuu yatoa Maazimio

    Siku hawa maadui wakifa nitakuwa sina haja na nani amechakuliwa kutoka chama ngani, Kwa kuwa bado wanaendelea kuishi Lazima muasisi na mlezi(ccm) wake afe kwanza. Ondoa ccm, mpate mchawi leta maendeleo. #Taifa kwanza. Post sent using JamiiForums mobile app
  15. T

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee kamtukana Rais kwa tusi gani?

    Lengo lako wanyamaze siyo?, au unataka waseme 2018 ili wavunje katiba, wao ni kinywa cha wasio na sauti unayoogopa kuyasema wanaweza, wamefanikiwa sana ukifikiri walipotutoa kwenye kutoa hoja za kitaifa na kufanya ccm na serikal yenyewe kujitathimini ungetamani hata wawe wengi kuliko ccm...
Back
Top Bottom