Je, Serikali imebadili Magari ya Wakuu wa Mikoa?

Vyeti mmekwama, sasa mmehamia kwenye usafiri? Hamtashinda
aliyeshindwa ni Magufuli kama amesuccumb kwa makonda akafanya mambo yakinyume na utumishi wa umma unaona wananchi wameshindwa au kiongozi ndio ameanguka na anakwenda na maono yake ya kuweka nidhamu za utumishi sawa huoni ni doa kubwa kwa mkuu kuwa na suraa mbili sura ya kusimamia misingi na sura kukiuka misingi hilo la kumuacha makonda na vyeti feki ukikumbuka ndio limesababisha achukiwe sana na serikali yake kupuuzwa so think twice
 
Mkuu hata Landcruiser V8 ya wabunge na wakuu wa mikoa nayo I nakunywa mafuta 4.5litres engine capacity
Makonda yeye ni nani wa kubadilisha maadili ya watumishi wa umma kwanini Raisi Magufuli inapokuja kwa makonda anaconda nakuona mambo ya hovyo ni sawa ni mfano gani anaweka kwa wananchi
 
Habari wanaJF,

Katika peruzi peruzi yangu mitandaoni nimekutana picha iliyonishangaza baada ya kuona Gari aina ya Range Rover ikiwa na Plate Number inayoashiria kuwa anapaswa kuitumia Mkuu wa Mkoa RC DSM yaani RC(Regional Commissioner) DSM(Dar es Salaam).

Je, ni wakuu wa mikoa wote wanatumia Magari haya?

Je, kama si mali ya Serikali inawezekana Watu binafsi kutumia Magari yenye Plate Number zinazofanana na za viongozi wa umma?

Kama ni mali ya Mkuu wa Mkoa, Je ni sawa kutumia Plate Number yenye hadhi ya Uongozi wa Umma katika magari binafsi?

Basi kimewauma sana...
 
Mali za umma zinatumika kwa watu binafsi halafu watu wanataka waombewe wafanikiwe sjapata kuona hiii
 
Na apo sio tz kama kuna anayebishi azoom picha kuna prado kwa mbele ina plate number ya right blue vitu edited hivyo
We umeangalia picha fungua video ndio utaelewa.. hyo ni ziara alipokuwa zanzibar, hapo kuna kipikipiki kibatavuz na namba za zanzibar
Hakuna kilichoeditiwa, inabidi waanze kuedit video ndio waje na hyo picha..
 
Bashite bhana jambo dogo tena la kibinafsi lakini full makemera. anajifunza nn ameenda kula bata anajificha kwenye kujifunza ili atanue na mali za umma.
Nilimuona TBC wanamuita mtalii wa ndani,alienda kuangalia jinsi mtu anavyopanda mnazi
 
Kwa mujibu wa nilivoona nazani hiyo gari aliitumia kwa zarura tu akiwa zanzibar ila sio yake aluyopewa na serikali .nazania tu
 
Habari wanaJF,

Katika peruzi peruzi yangu mitandaoni nimekutana picha iliyonishangaza baada ya kuona Gari aina ya Range Rover ikiwa na Plate Number inayoashiria kuwa anapaswa kuitumia Mkuu wa Mkoa RC DSM yaani RC(Regional Commissioner) DSM(Dar es Salaam).

Je, ni wakuu wa mikoa wote wanatumia Magari haya?

Je, kama si mali ya Serikali inawezekana Watu binafsi kutumia Magari yenye Plate Number zinazofanana na za viongozi wa umma?

Kama ni mali ya Mkuu wa Mkoa, Je ni sawa kutumia Plate Number yenye hadhi ya Uongozi wa Umma katika magari binafsi?

Makonda vita ya mitandaoni alishinda kitambo.
Fanya kazi, pambana na hali yako.

Makonda ni class tofauti na uwazavyo, utaota mnvi mpaka unakufa Makonda hatatoka kwenye akili yako kwa upumbavu wako, shwain!
 
Back
Top Bottom