Mkuu vipi salama uko! Mbna unarudia umo kwa umo kama unapiga msuaki.

Maswali yako yote jibu lake ni moja tu maana maswali yote yanauliza muda gani mpaka mzigo kufika
Inategemea na caurier gani umetumia
Free shiiping mara nyingi hua ni "china post odinary small package plus" hii huchukua 30-60 day

China post registerd air mall 15 - 30 day
Aliexpress standard shipping 14 - 25 dys
Singapor post 20 - 40 day

Nyengine ni epress shipping kama dhl 1-5 dys, fedex economy 5-10 dys
Nimetumia singapore post toka mwezi wa 6 mpk leo
 
Tarehe gani order ilitumwa?

Kwa kawaida order inatakiwa kufika ndani ya siku 60 (2 month). Kuna order nilitumiwa ilichukua zaidi ya siku 45

Singapor post wanaprovide tracking number. Jaribu kurack huo mzigo uone uko wap
 
Mkuu tracking no unaitumia vipi,

Juzi nimeagiza mzigo ebay nauchukua posta sio

Namaanisha kwenye lile sanduku la posta nililoliainisha pale sio

Na what if mzigo u delay tracking no inakusaidia vipi?

Natanguliza shukrani
 
order ilitumwa tarehe 2/7
 
Mkuu tracking no unaitumia vipi,

Juzi nimeagiza mzigo ebay nauchukua posta sio

Namaanisha kwenye lile sanduku la posta nililoliainisha pale sio

Na what if mzigo u delay tracking no inakusaidia vipi?

Natanguliza shukrani

Kila caurier wanoprovide tracking no maana yake unaweza kuutrack mzigo wako step by step kwenye site yao mpaka unafika unapotakiwa kufika.

But kuna baadhi ya posts ni vigumu kutrack mzigo kwenye site zao kama china post sababu ya language na sijaona sehemu ya kubadili language kua english and so on hivyo nashauri download app inaitwa "17 track" inapatikana playstore. Hii itakusaidia kutrack oder zako kwa wakati mmoja na ina option ya kutranslate any language kuwa english, inakutumia notification kila hatua inayopitia mzigo wako.

Yah kama mzigo umetumiwa kwa posta mfano USPS utaupokea posta

Fedex utapokea kwenye ofisi zao mzigo ukifika utapigiwa simu

DHL naskia wanakuletea mpaka ulipo sina uhakika juu ya hili wanaojua watatuambia

Mzigo ukichelewa kufika track no itakusaidia kujua mzigo wako wapi ulipo

Hope nimejitahid kuelezea kidogo kwa ninachokifahamu
 
Thank you sir,

Ila ka swali ka mwisho hiyo USPS ni nini
 
Na kingine inachukia muda gani mpaka kuiona ukiitrack coz nimeangalia wanasema hakuna information za no hiyo kitu nimenunua juzi
 
Caurier gani umetumia kushipp mzigo wako

Mkuu soma hiyo screenshot
IMG_0498.jpg
 
Mkuu soma hiyo screenshot
Economy shipping zipo nyingi nimeshangaa kuona hawakuainisha exactly caurier gani seller ametumia kushipp mzigo wako
Bt kwa kawaida economy shipping method take upto 5 days tracking number kua active.

Hii imenitokea mm nilinunua case ya hhd china package ilipofika nilipofungua nilikuta gift card tu hakina maana yoyote. Nikafungua kesi seller akaniomba niwe na subira baada ya siku 15 nitapokea order yangu kwa vile buyer protection dedline yake ni baada ya siku 60 nikaona poa wacha nisubiri.

Aliniomba niifunge kesi nikagoma mpaka nitakapopokea oder yangu

Wakanipa tracking no ya order mpya cha ajabu tracking no inaonesha mzigo unatokea singapor bt baada ya kupokea ilikua ni sawa sawa hdd case ile niliopurchase.

Ushauri ukiona baada ya siku tano track no haisomi jaribu kucontact na huyo seller akwambie shipping method aliotumia

6f849e775f7674f444db731229d2b376.jpg
 
hao aliexpress wako very organized wala usiwe na pressure ukinunua kitu unaambiwa kabisa baada ya siku 5 baada ya seller kuship mzigo wako ndo utaweza kutrack mzigo,

kila bidhaa unaponunua wanaonesha shipping ni mda gan kwa free shipping ni siku 45 hadi 60 maximum ila kwa zile za kulipia ndo huwa siku 10 hadi 28 .
na pia wala usiwe na haraka ya kuopen dispute wasiliana na seller kwanza, wako very sensitive

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you sir ntakucheki uzid kunipa maujanja coz nimeagiza kitu kidogo tu kama cha sh 20000 nataka kwanza niwe na uhakika na haya mambo
 
Kila caurier wanoprovide tracking no maana yake unaweza kuutrack mzigo wako step by step kwenye site yao mpaka unafika unapotakiwa kufika.

But kuna baadhi ya posts ni vigumu kutrack mzigo kwenye site zao kama china post sababu ya language na sijaona sehemu ya kubadili language kua english and so on hivyo nashauri download app inaitwa "17 track" inapatikana playstore. Hii itakusaidia kutrack oder zako kwa wakati mmoja na ina option ya kutranslate any language kuwa english, inakutumia notification kila hatua inayopitia mzigo wako.

Yah kama mzigo umetumiwa kwa posta mfano USPS utaupokea posta

Fedex utapokea kwenye ofisi zao mzigo ukifika utapigiwa simu

DHL naskia wanakuletea mpaka ulipo sina uhakika juu ya hili wanaojua watatuambia

Mzigo ukichelewa kufika track no itakusaidia kujua mzigo wako wapi ulipo

Hope nimejitahid kuelezea kidogo kwa ninachokifahamu
Mkuu vipi kuhusu ushuru kama unatumia njia ya DHL au Fedex au hakuna kulipia ushuru?
 
Yah utalipa ushuru kwa iterms ambazo ni eligible kulipiwa ushuru

Ila kwa process ya clearence binafsi na prefer DHL unalipia ushuru tu kwenye ofisi zao unapokwenda kuchukua mzigo wako.

Fedex longolongo nyingi unalipa kuanzia agent fee, costum duties, TBS, vat 18% and so on...
 
Mkuu nitakufata PM nikitulia kuna masuali nataka kuyapatia majibu. Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako.

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
 
Naomba kujua kama kuna mtu amewahi kununua vitu kupitia ebay, alibaba au amazon. Huduma zao vipi?, TRA wanatozaje ushuru? na pia vipi muda wakupokea ni kadri ya mkataba?. mwenye uzoefu atushirikishe?
 
Naomba kujua kama kuna mtu amewahi kununua vitu kupitia ebay, alibaba au amazon.
Kila siku nafanya manunuzi
Fuata hii thread: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
TRA wanatozaje ushuru?
Kuna baadhi y bidhaa zina kodi, na zingine hazina kodi bali zinakuwa na VAT ya 18%

na pia vipi muda wakupokea ni kadri ya mkataba?.
Swala muda hutegemea aina ya usafirishaji uliyochagua.
Kuna
- Express hii huchukua siku 3 - 7
- Standard - Hii huchukua siku 6 - 15
- Economy - Hii huchukua kuanzia Wiki 3 - 5
 
Back
Top Bottom