Recent content by trigger

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Majambazi yamuua mfanyabiashara na kupora shilingi milioni 4

    too sad i used to live with him at Mbeya,May his soul rest in peace
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya long time kitambo

    lol nilijifunzia pale kuvuta n thanks God nilishindwa kuendelea kuvuta nikaacha
  3. T

    JamiiForums Tanzania FUNDI WA KUJENGA UKUMBI WA MAKUTI

    mkoa mpya wa songwe
  4. T

    JamiiForums Tanzania FUNDI WA KUJENGA UKUMBI WA MAKUTI

    Naitaj msaada kwa mtu anaemjua fundi wa kujenga ukumbi wa makuti ani PM namba yake,natanguliza shukran
  5. T

    JamiiForums Tanzania Huko kwenu viroba vimepewa jina gani?

    huku power bank
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni bank ipi rafiki kwa maskini?

    itendee haki signature yako ndugu ' great minded people discuss ideas' nimechukua sehemu tu ya signature yako.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ni bank ipi rafiki kwa maskini?

    w Ndugu kama hauna elimu ya bank uliza usikimbilie kusema wezi,ukiambiwa thibitisha wezi wao utaweza.let urge proffessional wise sio kwa mihemko tu,pia usipende potosha watu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ni bank ipi rafiki kwa maskini?

    ua ebu toa mfano wa atm za wap?katika bank ambayo huku jf hailalamikiwi issue ya atm ni Nmb,let b fair kwa issue ya mtandao ilikua zaman miaka mitatu nyuma kwa sasa hapana,naongea hvyo kwasabau nazunguka sana Tanzania ktk biashaar zangu na kutumia Nmb kukutana na issue ya mtandao kusumbua ktk...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ni bank ipi rafiki kwa maskini?

    wana matawi mangap
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ni bank ipi rafiki kwa maskini?

    hoja ni kufungua akaunti mkuu sio mikopo
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ni bank ipi rafiki kwa maskini?

    hapana sio mfanyakaz ni mteja wa nmb wa muda mrefu san tangu 2000.naijua bank hii sana kwan ndio primary banker wangu naomba niende general kwa ajili ya kuprotect bank tajwa zingine ikiwa nimesha declare mie ni mteja wa nmb,tofaut kubwa ni katika huduma kwa mteja,upatikanaji wa huduma kwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ni bank ipi rafiki kwa maskini?

    bank rafiki kwa wote na maskin inamjali mteja ni Nmb,kuna akaunti wanazo ambazo kwa kadri ya mahitaji yake zitamfaa,kama ulivyosema kwa maskini wana akaunti inaitwa chapchap inafunguliwa kwa kua na kitambulisho halali tu na unapata kadi ya atm hapo hapo,haina makato yoyote na unapata faida kwa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Siri ya utajiri wa Majizzo

    kwani bosi wa clouds RUGE alianzia wap kama sio udj?kwann tusianze kuhoji kwa Ruge then kwa dj majizzo?ukipata jibu hapo bas post utadelete
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitoa pesa katika ATM huwa unahesabu au unakunja unaweka katika wallet?

    ni vizur tukajenga utamadun wa kuesabu
  15. T

    JamiiForums Tanzania Bank yenye NPL kubwa Tanzania

    nimeleta huu humu baada ya kumsikia mkuu jana
Back
Top Bottom