Ni bank ipi rafiki kwa maskini?

FirstClass

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,094
1,358
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Kuna mtu kaniomba ushauri hapa, anahitaji kufungua acount, sasa kabla ajaingia mkenge,anahitaji kwanza nimpe nondo za kitaalamu khs bank rafiki kwa maskini.

Jf haijawai kuniangusha. Nawasilisha kwenu. .
 
Hakuna bank rafiki kwa maskini hasa kama umelenga mkopo. Lakini kama ni kudunduliza kile ulichonacho bank zote ni nzuri ukianza na CRDB
 
M PIA natumia crdb mkuu, SAS nkimuambia Tu straight fungua crdb takuwa nimempunja. Takuwa nimemnyima haki yake kikatiba ya kuchambuliwa mambo na kuelewa!!
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Kuna mtu kaniomba ushauri hapa, anahitaji kufungua acount, sasa kabla ajaingia mkenge,anahitaji kwanza nimpe nondo za kitaalamu khs bank rafiki kwa maskini.

Jf haijawai kuniangusha. Nawasilisha kwenu. .
bank rafiki kwa wote na maskin inamjali mteja ni Nmb,kuna akaunti wanazo ambazo kwa kadri ya mahitaji yake zitamfaa,kama ulivyosema kwa maskini wana akaunti inaitwa chapchap inafunguliwa kwa kua na kitambulisho halali tu na unapata kadi ya atm hapo hapo,haina makato yoyote na unapata faida kwa kile ulichoweka.
pia wana akaunti inaitwa bonus ambayo unapewa riba ya ziada na faida ni kila baada ya miez mitatu unapata riba yako hzo ni baadhi tu,ukiotaka watembelee tawi la jiran utapata maelezo kwa kirefu sana na utagundua bank ni Nmb
Faida zingine za nmb mtandao wao uliosambaa nchi nchii inakuwezesha kuweka na kutoa sehemu yyte,unaweza ukawatumia mawakala wake ambao wanafanya kazi ya kupokea na kutoa hela na hii itakusaidia usijepoteza muda kukiwa na folen.
 
Bila kupepesa macho we n mfanyakaz WA NMB.

Mkuu ungenichambulia atlist bank tatu ili nkianza kutoa somo nisipendelee NMB peke akee.Yani nimpe mteja uhuru WA kuchagua kulingana na maelezo nitakayompa..
 
hapana sio mfanyakaz ni mteja wa nmb wa muda mrefu san tangu 2000.naijua bank hii sana kwan ndio primary banker wangu
naomba niende general kwa ajili ya kuprotect bank tajwa zingine ikiwa nimesha declare mie ni mteja wa nmb,tofaut kubwa ni katika huduma kwa mteja,upatikanaji wa huduma kwa mteja,mtandao wa bank husika,huduma za ziada yaan value added service kama mobile application,sms alert,huduma ya malipo n.k,riba wanazotoa kwa mteja,gharama za kibenk na usalama wa fedha za mteja
ukitumia vtu hvyo hapo juu ambavyo ni baadhi tu utakuja na jibu bank gan ni sahihi kwa huyo mtu,ila narudia tena bank kwa wote ni Nmb,
nisihukumiwe kwan waliosema crdb wao ni wafanyakaz,if ur interested with anything u will know it
 
bank rafiki kwa wote na maskin inamjali mteja ni Nmb,kuna akaunti wanazo ambazo kwa kadri ya mahitaji yake zitamfaa,kama ulivyosema kwa maskini wana akaunti inaitwa chapchap inafunguliwa kwa kua na kitambulisho halali tu na unapata kadi ya atm hapo hapo,haina makato yoyote na unapata faida kwa kile ulichoweka.
pia wana akaunti inaitwa bonus ambayo unapewa riba ya ziada na faida ni kila baada ya miez mitatu unapata riba yako hzo ni baadhi tu,ukiotaka watembelee tawi la jiran utapata maelezo kwa kirefu sana na utagundua bank ni Nmb
Faida zingine za nmb mtandao wao uliosambaa nchi nchii inakuwezesha kuweka na kutoa sehemu yyte,unaweza ukawatumia mawakala wake ambao wanafanya kazi ya kupokea na kutoa hela na hii itakusaidia usijepoteza muda kukiwa na folen.
NMB wana huduma mbovu sana hasa kwenye ATM! Dakika mara mtandao umekata mara hakuna pesa kwenye ATM wanakera sana
 
hapana sio mfanyakaz ni mteja wa nmb wa muda mrefu san tangu 2000.naijua bank hii sana kwan ndio primary banker wangu
naomba niende general kwa ajili ya kuprotect bank tajwa zingine ikiwa nimesha declare mie ni mteja wa nmb,tofaut kubwa ni katika huduma kwa mteja,upatikanaji wa huduma kwa mteja,mtandao wa bank husika,huduma za ziada yaan value added service kama mobile application,sms alert,huduma ya malipo n.k,riba wanazotoa kwa mteja,gharama za kibenk na usalama wa fedha za mteja
ukitumia vtu hvyo hapo juu ambavyo ni baadhi tu utakuja na jibu bank gan ni sahihi kwa huyo mtu,ila narudia tena bank kwa wote ni Nmb,
nisihukumiwe kwan waliosema crdb wao ni wafanyakaz,if ur interested with anything u will know it
Asante mkuu kwa somo zuri!
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Kuna mtu kaniomba ushauri hapa, anahitaji kufungua acount, sasa kabla ajaingia mkenge,anahitaji kwanza nimpe nondo za kitaalamu khs bank rafiki kwa maskini.

Jf haijawai kuniangusha. Nawasilisha kwenu. .
Equity Bank (tz) limited
 
Back
Top Bottom