Mkuu samahani nimehangaika kukuchek Pm bila mafanikio
Nakutana na hii notification msaada plz kama hautojali naomba uni pm ww ili nipate access ya kuwasiliana na ww
Siasa ni system inayotokana na maisha ya binadamu, you can't escape it thts why kila uendapo unakuta inajadiliwa kama ambavyo huwezi kukimbia kivuli chako
Kwa sheria ipi na ya mwaka gani ndani ya katiba ya tanzania?
Hii tabia ya kujiamulia kinachokuja kichwani na kutaka kiwe sheria imetoka wapi waliomtangulia hawakua wajinga kuacha kifanyike hicho anachohangaika nacho kukizuia bila any supportive law
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kama umipitia vzr maelezo yangu sikukataa kwamba asitumie ceftriaxone ila nilichomsisitiza ni kwamba asitumie dawa flani hata kama anajua inatibu nn bila kufanya comfirmation ya lab results....
Mytake: Unaweza kujikuta unatumia dawa mwilini mwako ambayo ulishakua resistant nayo bila ww kujua...
Ni kweli anaweza kutumia broadspectrum kama ceftriaxone kwa kua ina cover all gram positive and gram negative bacteria lakini pia kuna a great emarging of drug resistance predominantly 3rd generation cefarosporins akiwemo E.coli thts why nilisuggest afanye culture kwenye hospital kubwa yenye...
Hapo atakua anabahatisha kutibu causative organism asiemjua its better akaenda hospitali kubwa wanayofanya culture and sensitivity akajua ni mdudu gani amesababisha hiyo hali na dawa zipi ni sensitive, intermediate or resistant against huyo organism alie sababisha hilo tatizo
Kutumia hizi...
Kwa ulivyoanza tu tayari umekuja na comment ya kikada hatuwezi elewana....ila shida ipo kwa mkulu kuendesha kitongoji kwa visasi kwa aliowakuta madon thts why nikatamani mfumo wa wamarekani tofauti na cc kiranja anakua kapuku akiingia madarakani anaona matajiri wote ni maadui kwake
Post sent...
Wamarekani wana akili sana ile principle yao ya mgombea lazima awe na harufu ya utajiri flani ndio agombee hawa viongozi wetu maskini wakiingia wanawaza kuwakomoa wenye nazo ni upuuzi tu ndio yanayotutesa hadi sasa full visasi then wanajificha kwenye kivuli cha uzalendo shubamiiiiti zao
Post...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.