OMBI: Mh. Rais Magufuli toa basi hata Salam za Mwaka Mpya.

Huna hoja sasa umebaki kutoa povu tu na kwa akili yako fupi unadhani tuko kwenye keyboard tu!!! Una akili za kushikiwa kweli weye. Kakojoe ukalale ZWAZWA weye!

Mt


Mtanukuu sana kwenye keyboard,keyboard warriors!!
 
Huna hoja sasa umebaki kutoa povu tu na kwa akili yako fupi unadhani tuko kwenye keyboard tu!!! Una akili za kushikiwa kweli weye. Kakojoe ukalale ZWAZWA weye!
Mmejaa mihasira utafikiri ikulu mnaenda kupigana vita.Kwa siasa za matukio hamtafua dafu.Bahati mbaya hamuambiliki.Shauri yenu.
 
Angalia jinsi unavyoonyesha ujuha wako hadharani. Kumbuka huyo uchwara hana hati miliki ya Tanzania na Watanzania wana haki ya kikatiba kumkosoa kwa lolote lile pale ambapo hawaridhishwi na utendaji wake na muelekeo wa nchi. ZWAZWA wewe unataka tukae kimya huku huyu mwenye chuki za kutisha akiendelea kupandikiza chuki zake hilo KAMWE halitatokea. Tutamkabili usiku na mchana mpaka kieleweke ama abadili muelekeo au abwage manyanga. Asituharibie nchi yetu huyu dhalimu. Sikiliza wosia wa Baba wa Taifa alituasa Watanzania tusiwe waoga dhidi ya madikteta.



Mmejaa mihasira utafikiri ikulu mnaenda kupigana vita.Kwa siasa za matukio hamtafua dafu.Bahati mbaya hamuambiliki.Shauri yenu.
Hili kundi la mafisadi limevimba kwa hasira,na baaado.Mpaka mnyooke muache dhuluma.
 
Una akili mbovu kweli wewe eti clip za kuingia. Chadema hakina sera lakini uchaguzi huru na wa haki wa kusimamiwa na Tume huru ya uchaguzi mnahofia kwa kujua kwamba mtafanywa vibaya. Uchaguzi wa Madiwani shurti kupora ushindi kwa marungu mapanga visu na bunduki. Sasa sijui ni nani asiye na sera hapa.
Askofu Kakobe hayo madhambi ya huyo mtenda maovu na mvaa hirizi aliyaota wewe punguani!?

Kayajua hayo maovu ya huyo uchwara kutokana na Chadema kuyaanika hadharani. Acha ujuha.

Nimekwambia Akili zako finyu mwisho wake lumumba si humu, humu tutakuchapa za uso tu.
Haappy new year brother...
 

Attachments

  • VID-20171231-WA0090.mp4
    228 KB · Views: 12
  • VID-20171231-WA0084.mp4
    15.3 KB · Views: 12


17e3cf4f58a2838ac8cca841596662ce.jpg
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana
 
Back
Top Bottom