Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,458
sumu mbalimbali tunazokula kila siku. kumbuka vyakula vyoote vya viwandani, kuanzia chumvi, sukari, mafuta ya kupikia, masufuria, etc anything unachokula kitokacho kiwandani kunakuwa na preservatives ambazo kuna side effects. soda, bia everything, lazima waweke madawa kidogo visiharibike. njoo kwenye mboga za majani wanazoweka mbolea na dawa, nyanya wanazopiga dawa siku hata mbili kabla ya kuchuma, mahindi na mchele wanaoweka mbolea etc. sumu everywhere, hivyo yatupasa kunywa maji sana na kufanya mazoezi ili kufanya emission ya uchafu mwingi sana ulioko mwilini. wakati mwignine mwili huwa unakuwa sensitive hayo mauchafu yanakusanywa eneo moja na linatokea jipu au upele. ila in the long ran, inakuwaga cansa. ndo maan awazungu wengi wana kansa kwasababu kila wanachokula ni kiwandani. hata hayo maziwa mnakunywa ng'ombe anayekamuliwa analishwa madawa everyday na yanakuwa mle kwenye maziwa, pia makuku hayo mnayokula yanalishwa madawa na ninyi pia mnakula hayo madawa bado yanakuwepo kwenye damu ya wanyama hao. ndo maana mimi sio msabato lakini huwa na admire heshima yao kwa kitu kinachoingia mdomoni...na wameweka hiyo kama ibada ili usiharibu mwili/hekalu.