Recent content by Trezedayam

  1. T

    JamiiForums Tanzania Jipatie Free Sport Channels kama upo Mwanza

    Qsat
  2. T

    JamiiForums Tanzania Haya mapenzi balaa! huyu Diva wa Clouds FM kazidi jamani

    Hiyo balaa
  3. T

    JamiiForums Tanzania miaka 5 ya ndoa uume hausimami,atumia ulimi tu kumridhisha mkewe

    Waongeze maombi atapona na kama vp waachane dada wa watu ajilie raha yake Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je ni halali mke kumpigia simu bosi wa mumewe baada ya kuchelewa kurudi nyumbani?

    Utovu wa nidham tena kama mimi nikijua unakula kibuti Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  5. T

    JamiiForums Tanzania hello....naombeni mni pokee jamanii

    Welcome Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  6. T

    JamiiForums Tanzania Polisi wapata kichapo katoro kagera

    Nchi yetu hii tatizo kubwa rushwa na ningumu sn kuimaliza Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  7. T

    JamiiForums Tanzania Polisi wapata kichapo katoro kagera

    Leo wamepona ila cha moto wamekiona na sijui kama kazi watakuwa nayo mana mmh Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  8. T

    JamiiForums Tanzania Polisi wapata kichapo katoro kagera

    Polisi wa Rider walikuwa kwenye gurio la katoro wanasema wamekuja kumkamata jambazi walipofika wakaanza kularushwa kama kawaida wananchi wakakasirishwa na kitendo hicho huku wakitaka ela kwa mabavu wananchi wenye hasira wakawapiga na kupora silaha na kuchoma moto pikipiki.Lakini baadaye silaha...
  9. T

    JamiiForums Tanzania natafuta mme aliye serious

    Mmh 2 much 30 years. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  10. T

    JamiiForums Tanzania LEO HII: Philipo Augustino Mulugo (MB) ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya

    Elimu yetu haiwezi kuwa nzuri abadani mana huwezi kuwa kiongozi wa elimu wakati wewe mwenyew huna elimu. Labda alipewa nafasi hiyo kutokana na mapenzi ya best wake Jk Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  11. T

    JamiiForums Tanzania msaada sitaki kufa na tai shingoni!

    Mwmbie ukweli mana utakuwa umeonyesha uko serious kwake Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  12. T

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Downing yupo form sasa hv anatisha sn
  13. T

    JamiiForums Tanzania Sturridge kafanya mazoezi na wachezaji wenzake Liverpool

    Sturridge 23, amefanya mazoezi na wachezaji wenzake wa Liverpool leo asubuhi mara baada ya jpili kukamilisha vipimo. Maswali ya mekuwa mengi je ataisaidia Liverpool?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hebu taja manahodha watano katika Soka unaowakubali Duniani...

    Steven Gerald-LIVERPOOL
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hellooo!

    Am trezedayam from Kagera,Tz.Am happy 2 be a mamber of JF
Back
Top Bottom