Recent content by Translator

  1. Translator

    Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

    Subiri baada ya siku chache utasikia idadi imepanda zaidi. Mara tutasikia lockdown. Unacheza na new world order:(:(:(:(
  2. Translator

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Kwa sababu unadhani si cha Mungu, let's start by theorising: Ni vema kwamba unaamini kuwa Mungu yupo. Sasa, kwa mtazamo wako, kama Biblia ingekuwa inatoka kwa Mungu, ingetakiwa iweje? Ingetakiwa isiwe na vitu gani vilivyopo sasa ambavyo vinakupa wasiwasi?
  3. Translator

    Ngoja na mimi niulize ujinga.

    Nimecheka hadi basi :D:D Ila hongera kwa swali zuri sana fikirishi.
  4. Translator

    Iran na Israeli zajibizana kuhusu Tel Aviv

    Hela haiwezi kutoka mbinguni rafiki. Hela ziko hapahapa duniani. Na Mungu akitaka kumbariki aliye wa kwake atazitoa hata kwako na kumpatia. Isaya 60: 10 Na wageni watajenga kuta zako, NA WAFALME WAO WATAKUHUDUMU; Maana katika ghadhabu yangu nalikupiga, Lakini katika upendeleo wangu...
  5. Translator

    Iran na Israeli zajibizana kuhusu Tel Aviv

    Ashkenazi jamii ya Yafeti inatajwa kwenye Mwa 10:2-3 2 Wana wa Yafethi ni Gomeri, ..... 3 Na wana wa Gomeri ni Ashkenazi, ....... Huyu hana uhusiano na Ashkenaz Jews. //Wanaorudi watakuwa traced vipi?// ------- anayewa-trace ni nani? Mungu alisema Yeye ndiye atawaleta kutoka pande nne za...
  6. Translator

    Iran na Israeli zajibizana kuhusu Tel Aviv

    - //Israeli walirudishwa na manabii// ---- hakuna andiko la hivyo. Aliyewarudisha ni Mungu. - Israeli ilikuwa makabila 12, sawa. Bado wanaendelea kurudi. Fanya google search ya "Jews aaliyah" utapata mengi zaidi. - Tunaihusisha Israeli na unabii kwa mujibu wa maandiko. Ukibeba wasukuma ukatupa...
  7. Translator

    Kitimoto chawashwa moto, vilio na mayowe ya kibinaadam...

    Hiyo ni kawaida kama kuna ugonjwa. Hata kuku pia huwa wanawachoma
  8. Translator

    Mpiga kinanda naye anasali?

    Psalm 149:1-4 Praise the Lord. SING to the Lord a new SONG, his praise in the assembly of his faithful people. Let Israel REJOICE in their Maker let the people of Zion BE GLAD in their King. Let them PRAISE his name with DANCING and MAKE MUSIC to him with TIMBREL and HARP. For the Lord takes...
  9. Translator

    Iran na Israeli zajibizana kuhusu Tel Aviv

    Uhakika uko wazi tu. Mungu alisema "Nitawatawanya" na akawatawanya. Kisha akasema, "Nitawarudisha" na akawarudisha baada ya kuwa nje ya Israeli baada ya miaka takribani 2000. Kuhusu Armagedon itakuwaje Hitla wakati Biblia inataja ni wapi vita hiyo itapiganwa? (Yoeli 3:2) NITAKUSANYA MATAIFA...
  10. Translator

    Iran na Israeli zajibizana kuhusu Tel Aviv

    Maana ya hayo uliyoeleza ni hii hapa ambayo Mungu alisema kupitia nabii Yeremia miaka mingi kabla Wayahudi hawajafika Ulaya na kwingineko: (Jer 9:15-16) Basi, Bwana wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Tazama, nitawalisha pakanga, naam, watu hawa, nami nitawapa maji ya uchungu wayanywe...
  11. Translator

    Iran na Israeli zajibizana kuhusu Tel Aviv

    Nini kinaifanya Israeli ya kimwili idumu hadi leo wakati imezungukwa na rundo la wanaoichukia pande zote. Mabilioni ya watu wameshimdwa kuitokemeza nchi yenye watu milioni chache. Why?
  12. Translator

    Iran na Israeli zajibizana kuhusu Tel Aviv

    Ukipata muda fanya google search ya Duality of prophecy fulfillment au Double fulfillment of biblical prophecies utajifunza jambo. Unabii wa biblia hutimia mara moja, mbili au zaidi. Hosea 11:1 inahusu Israeli kama taifa na inamhusu Yesu. Sio ila neno humo linamhusu Yesu. Hosea 11 anasema: 1...
  13. Translator

    Iran na Israeli zajibizana kuhusu Tel Aviv

    Ndugu Zitto, hakuna, HAKUNA, hakuna aya hata moja ya Biblia inayosema Yesu ni Israeli. Hakuna.
  14. Translator

    Iran na Israeli zajibizana kuhusu Tel Aviv

    Irani hawajui wasemalo. Zekaria 12 1 Ufunuo wa neno la Bwana JUU YA ISRAELI. Haya ndiyo asemayo Bwana, azitandaye mbingu, auwekaye msingi wa dunia, aiumbaye roho ya mwanadamu ndani yake. 2 Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote, wazungukao pande...
Back
Top Bottom