Recent content by townkid

  1. T

    JamiiForums Tanzania Messi apiga mbili Barcelona ikiizamisha madrid 3-2 bernabeu,

    yaaan ngoja nkawahi siti ya mbele kabsaa maana madrid navyomjua akishapgwa goli huwa anapata hasira ndo utamjua yaan inakua kama umefungulia nyuki so leo barca ajipange
  2. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mazingira yapi dereva anaweza kulipita gari la mbele yake upande wa kushoto

    Wanandugu tangu muda nimekuwa nikijiuliza hivi inaruhusiwa kwa gari la nyuma kulipita gari la mbele kwa upande wa kushoto kisheria lakini nimekosa jibu. Nimekuwa nikiwaona madereva wa boda boda na hata baadhi ya magari hufanya hivyo so nimeleta kwenu ili mnisaidie. Je, ni ruhusa kufanya hivyo,na...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aunda kamati ya pili kuchunguza madini yaliyopo kwenye mchanga, kuapishwa kesho

    kila siku kamati hahahaaa ile ya mwanzo iko wap
  4. T

    JamiiForums Tanzania Gwajima amcharukia Diamond

    shida iko wap...we kamtukane tu alaf utajua nn watu wanamaansha kwa kile kumuogpa gwajima
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Roma: Wasanii na familia ya Roma wafanya mkutano na wanahabari

    unajua nafasi ya makonda kiusalama dar es salaam?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Start From Now: I'm CCM, Real CCM

    nenda ukawe mwana ccm bana uwe unatumwa kuja kututeka....tushawazoea
Back
Top Bottom