Wanandugu tangu muda nimekuwa nikijiuliza hivi inaruhusiwa kwa gari la nyuma kulipita gari la mbele kwa upande wa kushoto kisheria lakini nimekosa jibu. Nimekuwa nikiwaona madereva wa boda boda na hata baadhi ya magari hufanya hivyo so nimeleta kwenu ili mnisaidie. Je, ni ruhusa kufanya hivyo,na kama inaruhusiwa basi ni maeneo yapi ya barabara unaruhusiwa kufanya hivyo?