Watz sijui nani aliwaroga. Yani asilimia kubwa ya wanaotumia DSTV hujiona wenye hela na wajanja. Yani huhisi wapo ulaya [emoji3][emoji3][emoji3].
Umenunua DTSV kwa 99,000 na unalipia kifurushi cha 19,000 huzidi hapo ilhali mwingine kanunua Azam 150,000 na analipia Sh. 18,000 unajiona mwenye...