Iran Hoi bin taabani,utalii waporomoka ufukara waongezeka wananchi wang'aka

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,988
Hali ni mbaya sana Tehran haitamaniki watalii wamekauka
Wananchi wanakaribia kufikia kikomo cha uvumilivu
Katika count za mashhad na birjand wananchi wameanza kuichoka Serkali wanahasira na ayatolah (this time hawamwachi)

Wanasema nuclear hazitawasaidia kitu wanataka kushiba kwanza

Kuporomoka kwa utalii kumeongezea ugumu wa maisha hali inayopelekea wananchi wengi kuanza kukimbia Nchi

Nchi hiyo ambayo ipo kwenye jela ya mateso ya kujitakia kwa kumchokoza bwana mkubwa wa dunia USA haileweki ni vipi ataomba msamaha na kusamehewa ili uchumi wake uimarike

Tuendelee kumuombea iran kwani amezungukwa na wababe wa kivita huku Saud arabia kule Israel bado washngton

Ushauri
Serkali ya iran uwache ubabe utaua wananchi
 
How old are you son...... ili tuweze kujadili hili kwa upana zaidi ... maana isije kawa umemaliza form IV mwaka juzi na bado unasubiri post za JKT then unadandia vitu usivyokuwa na idea navyo ...

BTW.... ni vyema ukaendelea na mada ulizozizoea za Diamond vs Konde boy , ..& likes.
 
Kwanza wewe huna fact yeyote umeongea tu ili mradi una pahala pa kuzungumzia.

pili hujatoa ushahidi wa haya uliyosema mfano utaje maeneo hayo ya utalii ni yapi?? umepeoromoka kutoka kiwango kipi kuja kipi ulinganishe....

Kusema tu wana njaa ni sawa na yale ya North Korea tunaambiwa wana njaa miaka zaidi ya 30 halafu hawajawahi kufa waishe...Hata zimbabwe wanasemwa wana njaa ili mradi tu ukikataa ya US basi hapo utaambiwa yote.
 
Wenzetu japo mavikwazo kibao ya uchumi ila subway yao ya mashdad see attached image
 
Attachments

  • L00836418372.jpg
    L00836418372.jpg
    43.6 KB · Views: 16
Hali ni mbaya sana Tehran haitamaniki watalii wamekauka
Wananchi wanakaribia kufikia kikomo cha uvumilivu
Katika count za mashhad na birjand wananchi wameanza kuichoka Serkali wanahasira na ayatolah (this time hawamwachi)

Wanasema nuclear hazitawasaidia kitu wanataka kushiba kwanza

Kuporomoka kwa utalii kumeongezea ugumu wa maisha hali inayopelekea wananchi wengi kuanza kukimbia Nchi

Nchi hiyo ambayo ipo kwenye jela ya mateso ya kujitakia kwa kumchokoza bwana mkubwa wa dunia USA haileweki ni vipi ataomba msamaha na kusamehewa ili uchumi wake uimarike

Tuendelee kumuombea iran kwani amezungukwa na wababe wa kivita huku Saud arabia kule Israel bado washngton

Ushauri
Serkali ya iran uwache ubabe utaua wananchi
Kipigo alichochezea majuzi myahudi kimewafanya muje na huu upupu asee

Hali nimbaya sana Tehran lakini mwaka huu wanatuma satalite tatu kwenda hukoooo

Ww endelea kuwaza pumba 2 mkuu

IRAN TAIFA TEULE
 
Hali ni mbaya sana Tehran haitamaniki watalii wamekauka
Wananchi wanakaribia kufikia kikomo cha uvumilivu
Katika count za mashhad na birjand wananchi wameanza kuichoka Serkali wanahasira na ayatolah (this time hawamwachi)

Wanasema nuclear hazitawasaidia kitu wanataka kushiba kwanza

Kuporomoka kwa utalii kumeongezea ugumu wa maisha hali inayopelekea wananchi wengi kuanza kukimbia Nchi

Nchi hiyo ambayo ipo kwenye jela ya mateso ya kujitakia kwa kumchokoza bwana mkubwa wa dunia USA haileweki ni vipi ataomba msamaha na kusamehewa ili uchumi wake uimarike

Tuendelee kumuombea iran kwani amezungukwa na wababe wa kivita huku Saud arabia kule Israel bado washngton

Ushauri
Serkali ya iran uwache ubabe utaua wananchi
Tumekuzoea na uajinabi wako...kila siku kuisema vibaya iran bila ushahidi cha kusikitisha unayoandika ni uongo mtupu...tusubiri na tuone

Miaka 40 ya vikwazo vikali tena kuliko vya sasa waliweza kuwa imara na wakaongoza kiuchumi seuze sasa?
 
Hali ni mbaya sana Tehran haitamaniki watalii wamekauka
Wananchi wanakaribia kufikia kikomo cha uvumilivu
Katika count za mashhad na birjand wananchi wameanza kuichoka Serkali wanahasira na ayatolah (this time hawamwachi)

Wanasema nuclear hazitawasaidia kitu wanataka kushiba kwanza

Kuporomoka kwa utalii kumeongezea ugumu wa maisha hali inayopelekea wananchi wengi kuanza kukimbia Nchi

Nchi hiyo ambayo ipo kwenye jela ya mateso ya kujitakia kwa kumchokoza bwana mkubwa wa dunia USA haileweki ni vipi ataomba msamaha na kusamehewa ili uchumi wake uimarike

Tuendelee kumuombea iran kwani amezungukwa na wababe wa kivita huku Saud arabia kule Israel bado washngton

Ushauri
Serkali ya iran uwache ubabe utaua wananchi
kumbe muda mwingine akili inakurudia but ingekuwa poa kama ungestick na nyumbani kwako mbona vya jirani uone bt kwako wajafinya huoni???
 
Hali ni mbaya sana Tehran haitamaniki watalii wamekauka
Wananchi wanakaribia kufikia kikomo cha uvumilivu
Katika count za mashhad na birjand wananchi wameanza kuichoka Serkali wanahasira na ayatolah (this time hawamwachi)

Wanasema nuclear hazitawasaidia kitu wanataka kushiba kwanza

Kuporomoka kwa utalii kumeongezea ugumu wa maisha hali inayopelekea wananchi wengi kuanza kukimbia Nchi

Nchi hiyo ambayo ipo kwenye jela ya mateso ya kujitakia kwa kumchokoza bwana mkubwa wa dunia USA haileweki ni vipi ataomba msamaha na kusamehewa ili uchumi wake uimarike

Tuendelee kumuombea iran kwani amezungukwa na wababe wa kivita huku Saud arabia kule Israel bado washngton

Ushauri
Serkali ya iran uwache ubabe utaua wananchi

Tungepata chanzo cha habari hii nadhani ingefaa zaidi
 
Source: Mikocheni junction = rubbish
Iran anaendelea kuuza mafuta dunian i na kama ulikuwa huna taarifa leo mafuta katika soko la dunia yamepanda bei kwa sababu ya Iran. Katafute sumu unywee.
 
Back
Top Bottom