Recent content by Touto

  1. Touto

    JamiiForums Tanzania Career women: Nisaidieni katika hili

    Makungwi wa kiume [emoji23][emoji23]
  2. Touto

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Amekuwa ni mtu mwenye hasira na kubadilika badilika

    Hili nalo neno. ......maana mwingne atakwambia uchukue transfer akijua fika utakaaa!!! Ili apate kisingizio cha kuachana
  3. Touto

    JamiiForums Tanzania Haya ndio aina ya machungwa yalimwayo Tanga

    Daaah bangi mbaya saana....
  4. Touto

    JamiiForums Tanzania Uvumilivu unanishinda, nashindwa kutunza usichana wangu

    Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..... kwel inabidi atueleze anamaanisha nin akisema virgin[emoji23][emoji23] Labda mwenzetu anamaana tofautiiiii
  5. Touto

    JamiiForums Tanzania Local steaming!

    Mi nywele zangu ni nying na nzito .....tatizo ni kavu sanaaa . Je, steaming itanifaaa??
  6. Touto

    JamiiForums Tanzania Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

    Squats
  7. Touto

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

    Kuna babuu namjua ana heka kumi ndo katugawai na wengine na ye pia analima kuna mto
  8. Touto

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

    Sio zangu na mi pia nmekodi tu
  9. Touto

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

    Habari wakuu, Naomba ushauri kuhusu kilimo cha kunde wakuu nataka kulima Mkuranga kijiji kinaitwa Malela. Hapo kijijini maji yapo kwa ajili ya umwagiliaji. Naombeni ujuzi.
  10. Touto

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaojisifia mnajua mambo sita kwa sita mnaboa sana

    Hii ndo kweli tupu .....wanawake hatuliziki mpaka tupende Yaani nikikupenda hata ukijipigia kmoja cha uchovu m naona sawa tu.
  11. Touto

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu ni mtu wa vizinga

    Jamani kama hamna hela mnatafuta michepuko kwa Lipi???? Mxeeew...... Tulieni na wake zenuuu
  12. Touto

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya mwanaume niliyenae

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] walaaah nmecheka sanaa... Maana wengine tunavyopenda material stuff ....nashangaa mwenzangu anataka kupetiwa.
  13. Touto

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinawafanya wadada kutangaza shida baada ya kuingia katika uhusiano mpya?

    Yaaani unaongea point tupu...... hata Mimi ingawa nnamshahara wangu ila babe lazima nimuombe helaa. Kama mwanaume huwezi majukumu kuwa mwenyewe tu
Back
Top Bottom