Mchepuko wangu ni mtu wa vizinga

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Wadau nimemchoka huyu mchepuko kiukweli demu ni mzuri ana hips za maana anatokea Chato na alikua mwanafunzi wangu nikimfundisha masomo ya hotel ila kamaliza chuo na nikamtafutia field ila naona Sasa ananibebesha majukumu ya wazazi wake yani vizinga daily mara pedi mara chupi mara vocha yani demu maskini wa kutupwa nimejaribu sana kumpiga chini lakini ananing'ang'ania nimfanyaje huyu ili asiwe na hamu na mimi manake kila nikimkwepa lazima atakuja ghetto tu
 
Kutoa ni moyo kama yote hayo uliweza kumfanyia endelea tu na pia ndio ukome.

Pia inatakiwa ujue kuna wanawake hawajuagi kuachwa hivyo kama uliingia kichwa kichwa ujue imeshakula kwako.
 
Mkikataliwa huko mnavyojua kulalamika, kwani kuna aliyekulazimisha kuwa na mchepuko?
 
Bila shaka ulimpata awamu ya nne ya uongozi. Sasa sikia, tupia no zake hapa usaidiwe baadhi ya majukumu.
Inawezekana hii ndio tabia ya mwanamke wako tangu mwanzo wa uhusiano wenu, lkn msingi wa malalamiko yako ni hii hali ya awamu ya 5.
 
Back
Top Bottom