Azarel JF-Expert Member Aug 25, 2016 28,410 39,486 Feb 12, 2017 #1 Habarini Wadau, Haya machungwa yafaayo kwa juice yanalimwa hapahapa nchini kwetu. Niulize chochote kuhusu machungwa haya.
Habarini Wadau, Haya machungwa yafaayo kwa juice yanalimwa hapahapa nchini kwetu. Niulize chochote kuhusu machungwa haya.
Mudhyd JF-Expert Member Jul 17, 2013 492 507 Feb 12, 2017 #2 yako aina ngap? tupiamo na kapicha kwa ufafanuzi zaid
wa stendi JF-Expert Member Jul 7, 2016 24,973 27,209 Feb 12, 2017 #3 Sasa yako wapi hayo machungwa!!au ni wewe
Turnoff JF-Expert Member Mar 11, 2016 695 777 Feb 12, 2017 #6 Nahitaji ufafanuzi hayo yenye rangi ya kijani....je ni matamu kama hayo yenye uweusi weusi?
Luv JF-Expert Member Aug 29, 2013 2,738 6,076 Feb 12, 2017 #8 Duh....... Makonda anakuhusu aiseeee....
Azarel JF-Expert Member Aug 25, 2016 28,410 39,486 Feb 12, 2017 Thread starter #9 Turnoff said: Nahitaji ufafanuzi hayo yenye rangi ya kijani....je ni matamu kama hayo yenye uweusi weusi? Click to expand... Haya ya njano ndio mazuri zaidi mkuu
Turnoff said: Nahitaji ufafanuzi hayo yenye rangi ya kijani....je ni matamu kama hayo yenye uweusi weusi? Click to expand... Haya ya njano ndio mazuri zaidi mkuu