Recent content by tototundu

  1. tototundu

    Green card/ dv lottery interview

    This link is a scam. DV Lottery application is free. Follow the legit link here: Diversity Visa Instructions
  2. tototundu

    Rais Samia kuhudhuria na kuhutubia Baraza Kuu la 76 la Umoja wa Mataifa Jijini New York

    On the contrary wenyeji hawataki wageni kwa sasa: https://timesofindia.indiatimes.com/world/us/us-urges-over-150-world-leaders-not-to-come-to-un-over-covid/articleshow/85446216.cms
  3. tototundu

    Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

    Umeiweka vizuri sana, Magufuli alililisema hili hadharani, na siyo siri kuwa Kikwete alikuwa madarakani wakati mchakato huu unaanza na pia China inahusika na mradi huu. Kama ni hivyo, kwanini China haijajitokeza hadharani kukanusha? China hawajawahi kuwa na unafiki, kila siku wanaparurana na...
  4. tototundu

    Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

    Nikukumbushe tu aliyesema masharti ya proposal ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni mabovu alikuwa ni Rais wa JMT, kwa maneno mengine mtu aliyekuwa na access ya taarifa zote zinazohusu taifa wakati wowote; na kwa taarifa yako tu, si kuwa alikuwa anakuwa briefed tu, alikuwa anasoma yeye mwenyewe...
  5. tototundu

    GE2020 Wamarekani wanasema Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa na Udanganyifu

    Kwa sisi watu wa teknolojia, hii hoja dhaifu sana, typos ni kitu cha kawaida sana, sio big deal kihivyo. See below.
  6. tototundu

    Makonda, piga marufuku kuangalia soka Ulaya tukuze letu

    On serious note, you have a point. Uingereza hawaruhusu mpira uonyeshwe kwenye TV Jmosi saa 9 (all Saturday 3pm kick offs) ili kukuza mpira wao na kuongeza mapato kwa klabu zao. Sasa kama wao mpira wao hawaruhusu kuonyesha kwao kwanini sie mpira wao tuonyeshe kwetu?
  7. tototundu

    Spidi ya Tigo 4G mchana huu

    Kama nilivyopima kupitia www.speedtest.net just now. Amazing!
  8. tototundu

    Hii Airport gani, mazingira yake yanavutia

    So beautiful, na lights are just mesmerizing!
  9. tototundu

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Katika vitu vya kushangaza ambavyo huwa sivielewi ni suala la kuuliza maswali bungeni, kwanini yasiwe yanapelekwa wizara husika moja kwa moja yakapata majibu huko?
  10. tototundu

    Waziri Mkuu Majaliwa ndani ya Bandari tena. Makontena zaidi ya 2,400 yamepita bila kodi

    mkuu nikutake radhi kwa kutokukuelewa mwanzoni
  11. tototundu

    Waziri Mkuu Majaliwa ndani ya Bandari tena. Makontena zaidi ya 2,400 yamepita bila kodi

    Amazing... so sad kuwa kuna watu wana mawazo kama yako. Wakati fulani nilipita kijiji kimoja Ifakara nikashuhudia live mtoto wa miaka 2 akifariki mikononi mwa mama yake kwa malaria kali nje ya zahanati baada ya daktari kujaribu everything na kunyoosha mikono. Baadae dokta aliniambia drip ya...
  12. tototundu

    Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Makontena 349 yenye thamani ya Tsh 80 bilioni yamepotea na TRA hawana majibu na you are still talking politics, really?
  13. tototundu

    Slow Love Songs Fans

    Take a Bow by Madonna with Babyface doing background vocals... beautiful and soothing melodies... too bad wimbo wenyewe ni wa break-up
  14. tototundu

    App inayoondoa programs kwenye android phones

    Download na tumia greenify toka playstore. Very powerful.
  15. tototundu

    Fiber ya simbanet inaonyesha jinsi Tanzania tunavyohitaji internet mbadala

    Tigo kwenye 4G iko safi. Pamoja na kuwa na latency kubwa kidogo kama picha zinavyoonyesha na pia fluctuation ya speeds; internet performance iko vizuri, ukishaconnect stream,haikati mpaka mwisho ukiwa unaangalia mpira kwa mfano. Kwenye ku download unapata mpaka 3MB/s wakati mwingine, 4G ya tigo...
Back
Top Bottom