Green card/ dv lottery interview

Emmet

Member
Jan 18, 2019
82
167
Habari za wakati huu waungwana especially Travelers and Hustlers amabo waliamua au wameamua kwenda kuanzisha maisha mapya kwenye ardhi iliyojaa fursa USA kwa kupitia bahati na sibu ya green card maarufu kama dv lottery.

Sababu kuu ya kuanzisha huu uzi ni kuku sanya mawazo maoni
Na ushauri wa watu ambao walifanikiwa kushinda kweny hii program na kupata visa au hata kukosa vile vile nawaomba mje hapa mtupe uzofu wenu vitu gani vyakuzingatia kwenye kujaza form ya Ds 260 na documents gani ambazo unatakiwa uwenazo siku ya interview kwa walio qualify in Education and working experience ili uweze kufanikiwa itakapo fika siku ya interview tafadhalini karibuni sanaa.
 
Subiri vita ya koona iishe ndo uchambuzi wa kusafiri uanze.

Vita ikiisha ajira zitakuwa nje nje, wakati unasubiri jinoe na kozi fupifupi za online, Kama za lugha mbalimbali, stadi za mikono.

Pia gugo huko unakotaka kwenda wana uhaba na wafanyakazi wa aina gani??

Mipaka ikufunguliwa utagombaniwa kama first year au form one 😅.
 
Ngoja nikae siti ya mbele
 
Wapishi hawataki huko maana wengine tupo vizuri sector hiyo na kazi zingine za mikono kama kupaka rangi na kulea mifugo
 
Habari za wakati huu waungwana especially Travelers and Hustlers amabo waliamua au wameamua kwenda kuanzisha maisha mapya kwenye ardhi iliyojaa fursa USA kwa kupitia bahati na sibu ya green card maarufu kama dv lottery.

Sababu kuu ya kuanzisha huu uzi ni kuku sanya mawazo maoni
Na ushauri wa watu ambao walifanikiwa kushinda kweny hii program na kupata visa au hata kukosa vile vile nawaomba mje hapa mtupe uzofu wenu vitu gani vyakuzingatia kwenye kujaza form ya Ds 260 na documents gani ambazo unatakiwa uwenazo siku ya interview kwa walio qualify in Education and working experience ili uweze kufanikiwa itakapo fika siku ya interview tafadhalini karibuni sanaa.
Kwa nini unaanza kutafuta taratibu za kufuata kama umechaguliwa wakati kuchaguliwa ni bahati nasibu ambayo kupata ni ngumu mno? Unajua unachofanya ni kama mtu anaenda dukani kuulizia bei ya Ranger Rover kabla hata hajapata fedha za kununua. Jikete kwenye kujaza fomu itakayokuwezesha kuingia kwenye bahati nasibu kwanza.
Na hiyo fomu haihitaji document zozote na ni rahisi sana kujaza. Kipindi chake ni mwezi wa 10 mwanzoni mpaka mwezi wa 11 around tarehe 10 hivi. Ninachokusisitizia ni kwenda kwenye website yao na kujaza fomu. Usitumie sijui ma-wakala au site nyingine zozote na kuna wanazotosa fedha. Kujaza ni bure na link yake ni hii:
Kwa sasa imeshafungwa hivyo mpaka mwezi wa 10 tena.
 
Mbona mnapenda kuwakatisha Tamaa watu
 
Habari za wakati huu waungwana especially Travelers and Hustlers amabo waliamua au wameamua kwenda kuanzisha maisha mapya kwenye ardhi iliyojaa fursa USA kwa kupitia bahati na sibu ya green card maarufu kama dv lottery.

Sababu kuu ya kuanzisha huu uzi ni kuku sanya mawazo maoni
Na ushauri wa watu ambao walifanikiwa kushinda kweny hii program na kupata visa au hata kukosa vile vile nawaomba mje hapa mtupe uzofu wenu vitu gani vyakuzingatia kwenye kujaza form ya Ds 260 na documents gani ambazo unatakiwa uwenazo siku ya interview kwa walio qualify in Education and working experience ili uweze kufanikiwa itakapo fika siku ya interview tafadhalini karibuni sanaa.
Mpaka kuitwa kwa ajili ya hiyo interview, Utakuwa umeshapeleka nyaraka mbalimbali hasa za elimu yako, na wao watakuwa wameshafuatilia mpaka chuoni kwako. Cha muhimu ni kutodanganya lolote linalokuhusu/watakalouliza au kuomba, mfano elimu na mambo ya familia.
Siku ya interview hawahitaji lolote zaidi ya pasi ya kusafiria, na huulizwi/ kuhojiwa lolote zaidi ya mazungumzo ya kawaida na kukaribishwa Marekani.
Ambaye hakuchaguliwa, haitwi wala hapati mawasiliano yoyote, ni aliyefanikiwa tu ndio ataombwa nyaraka za uthibitisho.
 
Habari za wakati huu waungwana especially Travelers and Hustlers amabo waliamua au wameamua kwenda kuanzisha maisha mapya kwenye ardhi iliyojaa fursa USA kwa kupitia bahati na sibu ya green card maarufu kama dv lottery.

Sababu kuu ya kuanzisha huu uzi ni kuku sanya mawazo maoni
Na ushauri wa watu ambao walifanikiwa kushinda kweny hii program na kupata visa au hata kukosa vile vile nawaomba mje hapa mtupe uzofu wenu vitu gani vyakuzingatia kwenye kujaza form ya Ds 260 na documents gani ambazo unatakiwa uwenazo siku ya interview kwa walio qualify in Education and working experience ili uweze kufanikiwa itakapo fika siku ya interview tafadhalini karibuni sanaa.
 
Hii mpaka September nadhani ndo wanafungua. Muhimu uwe na passport na elimu kwanzia form six kuendelea. Au work experience lakini hapo kwa W.E pagumu kidogo..
 
Washafungua dv 2023 kwa anaeomba or alishaomba akakosa na anaomba tena tujuane
 
Hii mpaka September nadhani ndo wanafungua. Muhimu uwe na passport na elimu kwanzia form six kuendelea. Au work experience lakini hapo kwa W.E pagumu kidogo..

Hatua gani wanayokuuliza hizo Work experience au elimu? Mbona hakunaga kwenye application form au sikumbuki
 
Habari za wakati huu waungwana especially Travelers and Hustlers amabo waliamua au wameamua kwenda kuanzisha maisha mapya kwenye ardhi iliyojaa fursa USA kwa kupitia bahati na sibu ya green card maarufu kama dv lottery.

Sababu kuu ya kuanzisha huu uzi ni kuku sanya mawazo maoni
Na ushauri wa watu ambao walifanikiwa kushinda kweny hii program na kupata visa au hata kukosa vile vile nawaomba mje hapa mtupe uzofu wenu vitu gani vyakuzingatia kwenye kujaza form ya Ds 260 na documents gani ambazo unatakiwa uwenazo siku ya interview kwa walio qualify in Education and working experience ili uweze kufanikiwa itakapo fika siku ya interview tafadhalini karibuni sanaa.

Binafsi kucheza bahati ya Nasibu ili kuishi Marekani baada ya Maswali na majibu kutoka ubalozi wa Marekani na epuka matapeli
 
Back
Top Bottom