Mjombaa swala lako hilo laitaji uyakinifuu mkubwa sana na utulivu wa hali ya juu katika maamuzi binafsi kama ningekuwa mim kutokana na imani yanguu ningeongeza mkee wa pili hii ndio tiba yake la sivyoo utahangaika sana na hutapata ufumbuzi
Nduguuu mwana JF hivi ushawahi kupita barabara ya Makumbusho-Mbagara kupitia Karumee? so
Msoto uliopoo pale mataa ya Karume kuvuka kwendaa VETA/Tameko/Kekoo jaman mtu unakaa zaid ya dakika 40 hadi saa nzimaa uko kwenyee foleni tuu unaona tuu gari zinaruhusiwa ni za kutoka Kariokoo basi...
Nilitaka kufaham wanawakee nyie mnajiita waremboo mnakwamaa wapi mwanamkee unakuwa na mikuchaa kama shetani unafugaa kuchaa mpaka kula inakuw taabu kwenu urembo gani wa hivyo
Ukipenda Boga basi penda na ua lake ijapo umeanza mechi gori moja bila we mtuu mzma umenielewa kaa ukijua mtenda hutendwa kam ulitenda utandewa hayo ndoo maandiko ya munguu maana yang n ipi kam ulitoka kimapenz na mke wa mtuu basi nawako watakula ila kam hukutok na mke wa mtuu bas na wako...
Unadangany wew alikwambia nan kam mapenz ya ngum mkonon yanaraha kam si kusaritiana na kupotezeana muda soma vizur maandiko ya vitabu vya mungu vinasemaje kuhusu hiloo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.